Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "Nataka niweke records sawa kwa wana yanga kuwa, mara ya mwisho Simba SC kufungwa Uwanja wa Taifa aka kwa mchina ilikuwa 23/05/2019 alifungwa na timu ya Sevilla ya Spain.
Al ahly, Js saoura, As vita wote walichezea kichapo. TP mazembe ilijita ikapata sare. Yanga watauweza mfupa uliowashinda miamba ya soka Africa? Jibu wanalo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr[emoji769]