MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -;
1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza
2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM
3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi
4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa
5.Billnas alikuwa hajamchumbia Nandy
6.Corona ilikuwa haijaingia duniani
7.Rais Samia alikuwa bado mgombea mwenza CCM
8.Pierre Nkurunzinza, Mkapa, Mwinyi walikuwa wanadunda kwa afya tele!
9.Vuguvugu la katiba mpya na maridhiano hayakuwepo
10.Bei ya sukari ilikuwa Tsh 1500/kilo
11. ...... Ongezea nyingine 😃😀😀