Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Kwema wakuu.
KUNA MAMBO HUTOKEA maishani yanapelekea tutokwe machozi ya huzuni,furaha na hata hasira.
Wengine huenda mbali sio tu kutokwa machozi, wao wanabubujikwa machozi wanalia haswa. Ajali ya leo iliyotokea Same imenihuzunisha sana, sana nimejikuta natokwa machozi automatically.
Nimekumbuka wakati nasoma kidato cha pili, ilikuwa mwezi kama huu na siku kama hizi, wiki ya mwisho ya likizo ya mwezi wa 6, classmate mwenzetu alifariki kwa ajali ya moto nyumbani kwao.
Ni tukio lisiloweza kufutika akilini mwangu, jamaa alikuwaga na akili sana za darasani, alikuwa ni one of the brightest kids pale shuleni.
Siku hio jumapili(kesho yake jumatatu tungefungua shule) tulikutana mtaani tukiwa kama wanne, misele ya hapa na pale jioni tukaagana kila mmoja akaelekea kwao...