Mara ya Nne leo nalishwa na Mungu. Miujiza na Mungu yupo

Hizo asili ulizotaja huwa wanagawa makombo angalia kijana unakula vichafu.
Mpendwa Bimkubwa.., Tafadhwali tena kwa heshima zote acha kujumuisha... usijumlishe "ati hizo asili" Mie mbona sijaona nyumbani kwetu au ktk ukoo wetu kulisha mtu kilichobaki...
Sema huwa tuna chinja mbuzi,kondoo au hata ngamia na kugawa nyama kwa majirani na hadi kupeleka nje ya miji... We call it Swadaqa !!

Acheni nong'wa na chuki zisizo na tija au faida...

bigmind Swadaqa imeshakuwa shetani khaaaaah !! jamani kuweni wastaarabu!!
 
Kuna watu walikuwa safarini wakaharibikiwa na gari usiku maeneo flani hapa jirani. Kwa sababu ni kamji kadogo hawakuweza kupata huduma ya service kwa muda ule, wakaamua walale garini. Basi wakawa wanatafuta sehemu watakayoweza kupata chakula, sehemu nyingi zikawa zimeshafungwa na vibanda vya chips navyo vikawa vimefungwa, basi ikawa kila wanakopita hamna chakula, baba mmoja akawaambia kama hawatojali basi awape chakula cha home kwake, wale jamaa wakakubali (japo ilishangaza), yule baba akamuita mkewe akamuuliza kama kuna chakula kilichobakia coz kuna wageni, walikuwa wanaume watano, mke akasema kipo lakini kwa idadi yao hakitoshi, yule baba akamwambia mkewe akipeleke hicho hicho watulize njaa pakuche... Naskia wale watu walikula wakashiba na wakasaza... Naskia walishangaa kweli, kila wakila wanaona chakula kipo pale pale hakisogei..
Mwenyewe ilikuwa ngumu kweli kuelewa hilo tukio..
 
Ahssante.. na Ushukuriwe kwa Ujumbe huu "kila kitu cha wezekana chini ya jua hili" nami naamini kabisa kuwa Rizqi ya mja huteremshwa kwa wakati maalum na ktk mahitaji maalum..

ila humu kuna wachache wana vision finyu.... !!

ubarikiwe Patience123 Chizi Maarifa shukran na mubarikiwe kuleta ujumbe huu..!!
 
Endelea hivyo hivyo kukataa ishara za ALLAH,lakini uzuri ni kwamba lazima utakufa na siku utakayokufa utakua umethibitisha kauli ya ALLAH kivitendo
 
Uliposema huwa unakula mara tano kwa siku ndio umeharibu,,,,hujui kuna watu hula mara moja kwa siku!!! fanya ule mara tatu kwa siku kutoka tano halafu uone kama kuna siku utaishiwa. Na ukifanya hivyo hiyo miujiza Mungu atawapelekea wengine wanaokosa kabisa au kula mlo mmoja kwa siku
 
Una pepo la UKIMWI linakuandama ww c bure kwa nn ni madada tuuuuu
 
Samahani kama nimekwaza ulikuwa mtazamo wangu unaweza kuwa si sahihi kabisa.
 
Ungekuwa unasoma Biblia au hata kusikiliza kidogo mahubiri ungeweza kuelewa. Mungu hutumia hata ndege acha wanawake tu. Eliya alilishwa na mwanamke "TENA MJANE AMBAYE ALIBAKIWA NA CHAKULA KIDOGO TU WAKTI WA NJAA" angekuwa ni wa dunia ya leo angetaka amdanganye yule mama kuwa anampenda na atamwoa ili afanye naye mapenzi. lakini hakuwa na akili kama zako. hivyo alihudumiwa kile chakula cha mwisho cha mwanamke mjane na mwanawe ambao walikuwa wale halafu kutokana na njaa iliyokuwepo nchini pale wangekaa kusubiria kufa.

ndugu yangu najua wewe ungekuwa unasubiria waje wakiume. but mimi sikusubiria na sikuona shida kuwa ni wa jinsia ya ke. nliamini kuwa ni watu wema ambao wameamua kunisaidia na ikawa hivyo mpaka leo nina afya njema na nipo nao ofisini bila shida.tunaheshimiana na kupendana kama ndugu pasipo kujali dini zao, pasipo kujali rangi zao,pasipo kujali makabila yao, pasipo kujali utaifa wao. na hii ndiyo dunia ambayo Mungu alitaka tuishi. kama tukiweza kuishi kama Binadamu.


Mungu wako anawatumia wadada tu!!!
 
We bana bado unanichanganya tu. Ila poa ....tumsifu Yesu Kristo
 
We endelea kufurahia vya buree!! Mjini hapa
 
Duh hizi ofisi zinaficha mengi,mzee unakata ringi kwenye mazingira kama hayo mpaka ya lunch utata?
 
For as he thinketh in his heart, so is he.
 
Mkuu utakuja uolewe, unafanya kazi Tena unachezea komputer halafu huna hata pesa ya kula, halafu unaletewa mifuko ya chakula wewe unasifia na kuila Bila hata ya kuhoji, da ni hatari Sana hiyo mkuu.
 
Mkuu Mungu apewe sifa, kwa upande wangu sipingani nawe kuhusu hiyo miujiza ila napenda kujua hao wanaokuletea msosi ni staff wenzio unaowajua au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…