Mara ya Nne leo nalishwa na Mungu. Miujiza na Mungu yupo

Mara ya Nne leo nalishwa na Mungu. Miujiza na Mungu yupo

Yeaah ni watu ninaofahamiana nao. Nipo nao kazini ila hatuna mazoea ya kupeana vyakula.


Mkuu Mungu apewe sifa, kwa upande wangu sipingani nawe kuhusu hiyo miujiza ila napenda kujua hao wanaokuletea msosi ni staff wenzio unaowajua au?
 
hata mimi nimemuelewa mimi inaweza kufika tar 3 sina hata mia lakini nitakula nitalala mpaka mshahara mwingine
UKIONA UMEAMKA ASUBUHI MZIMA SHUKURU MUNGU JUA RIZIKI YAKO IPO TU.ILA NI VIZURI TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA

Hata mimi naamini kwenye miujiza lakini huyu jamaa aliponishangaza ni alipoongelea gari halafu hana hela ya lunch!

Labda aseme hilo gari alipewa urithi na mzazi halafu mzazi akamwambia asiliuze yani bora alirudishe kuliko aliuze...otherwise huu si muujiza wa kulishwa ni Mungu anamuambia 'wake up' fikiria nje ya box. we kila siku unalishwa na wadada...!!!!

Kijana, uza gari fanya mishe za kukuingizia pesa. usitegemee mshahara wako tu.
 
Yeaah ni watu ninaofahamiana nao. Nipo nao kazini ila hatuna mazoea ya kupeana vyakula.

Siku nyingne unapopokea mshahara kuwa na priorities;
1. food
2. shelter
3. clothing
4. savings
5. other expenses...
 
Mkuu wanaleta wanawake tu hakuna mwanaume mzee?
 
Endelea tu kusubiria na kushuhudia mkujiza badala ya kufikiri plan B ya kujikwamua na njaa za Mara kwa mara
 
Unafanya kazi na watu wa mataifa tofauti mmhh! Wewe upo ulaya(Holland) ? Watanzania wa UK na America hawajafikia hali hio ya kukosa hela ya chakula.
 
Back
Top Bottom