Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #81
Mkuu Mungu apewe sifa, kwa upande wangu sipingani nawe kuhusu hiyo miujiza ila napenda kujua hao wanaokuletea msosi ni staff wenzio unaowajua au?
hata mimi nimemuelewa mimi inaweza kufika tar 3 sina hata mia lakini nitakula nitalala mpaka mshahara mwingine
UKIONA UMEAMKA ASUBUHI MZIMA SHUKURU MUNGU JUA RIZIKI YAKO IPO TU.ILA NI VIZURI TUJIFUNZE KUWEKA AKIBA
Yeaah ni watu ninaofahamiana nao. Nipo nao kazini ila hatuna mazoea ya kupeana vyakula.