Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

foreigner

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
57
Reaction score
60
Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.

Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu.

Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana:

  1. Nikipiga Vodacom Tanzania – wanasema ni boresha taarifa zako ili malipo yafanyike.
  2. Nikipiga au kucheck DSE/DCE – wanasema akaunti yangu ipo dormant wakati mimi nafanya miamala ya kawaida.

Kwa hali hii sielewi wapi tatizo lilipo:

  • Je, ni taarifa zangu (majina, akaunti ya benki/M-Pesa) hazijasanifiwa vizuri kwenye CDS?
  • Au ni kweli akaunti ikisemekana dormant haiwezi kupokea gawio mpaka ipewe uhai upya?
  • Au changamoto ipo upande wa CRDB Registrar Services ambao ndio wanasimamia malipo ya gawio la Vodacom?

Naomba yeyote mwenye uzoefu wa masuala haya, hasa waliowahi kukumbana na tatizo kama hili, anielekeze:

  • Ni wapi haswa ninatakiwa kufuatilia kwa uhakika (Stockbroker, DSE au CRDB Registrar)?
  • Na je, kuna namna ya ku-activate tena akaunti yangu ili nipate gawio langu kwa usahihi?

Nashukuru sana kwa ushauri wenu.
 
Jambo rahisi kuliko lote ni wewe kwenda Vodacom HQ ukapata maelezo ya Kina Kuhusu kinagaubaga
 
Da pole sana kwa changa moto hiyo ungekuwa umejipandia miti Yako eka Moja mikalibea ingekuwa vizuri zaid kuliko kujipresha presha
 
nenda vodacom wewe si mmiliki wao? ukifika kama owner mfukuze kwanza CEO, kidding
 
Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.

Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu.

Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana:

  1. Nikipiga Vodacom Tanzania – wanasema ni boresha taarifa zako ili malipo yafanyike.
  2. Nikipiga au kucheck DSE/DCE – wanasema akaunti yangu ipo dormant wakati mimi nafanya miamala ya kawaida.

Kwa hali hii sielewi wapi tatizo lilipo:

  • Je, ni taarifa zangu (majina, akaunti ya benki/M-Pesa) hazijasanifiwa vizuri kwenye CDS?
  • Au ni kweli akaunti ikisemekana dormant haiwezi kupokea gawio mpaka ipewe uhai upya?
  • Au changamoto ipo upande wa CRDB Registrar Services ambao ndio wanasimamia malipo ya gawio la Vodacom?

Naomba yeyote mwenye uzoefu wa masuala haya, hasa waliowahi kukumbana na tatizo kama hili, anielekeze:

  • Ni wapi haswa ninatakiwa kufuatilia kwa uhakika (Stockbroker, DSE au CRDB Registrar)?
  • Na je, kuna namna ya ku-activate tena akaunti yangu ili nipate gawio langu kwa usahihi?

Nashukuru sana kwa ushauri wenu.
Uza tu hizo hisa ni hasara
 
Nimepokesha shilingi 10 mpesa gawio muda huu
 
Ujinga
Hisa zenyewe pengine za milioni 3 sasa utapata gawio gani la maana

Acha kina Rostam wadai magawio sio wewe
 
Back
Top Bottom