Ulipo jibiwa account n domant ulipaswa kuuliza njia za ku activate na upewe utaratibu kuanzia hapo.
nitajitahidi kufanya hili, japo nilipo hadi kufika HQ nauli ni mara 3 ya gawio lenyewe.😀Jambo rahisi kuliko lote ni wewe kwenda Vodacom HQ ukapata maelezo ya Kina Kuhusu kinagaubaga
sawa kiongoziMgonjwa aende hospital kwa msaada zaidi!
Wewe nenda ofisi za voda kwa msaada zaidi
naona kama napigwa siasa, nikienda account ipo active.Kama wamekwambia account ipo Dormant waambie waifungue sasa kwa kukupa mahitaji ya kufufua hiyo account.
Na mwaka jana bado wanapiga hesabu??😀Labda wanafanya mahesabu kwanza
Da pole sana kwa changa moto hiyo ungekuwa umejipandia miti Yako eka Moja mikalibea ingekuwa vizuri zaid kuliko kujipresha preshaWakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.
Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu.
Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana:
- Nikipiga Vodacom Tanzania – wanasema ni boresha taarifa zako ili malipo yafanyike.
- Nikipiga au kucheck DSE/DCE – wanasema akaunti yangu ipo dormant wakati mimi nafanya miamala ya kawaida.
Kwa hali hii sielewi wapi tatizo lilipo:
- Je, ni taarifa zangu (majina, akaunti ya benki/M-Pesa) hazijasanifiwa vizuri kwenye CDS?
- Au ni kweli akaunti ikisemekana dormant haiwezi kupokea gawio mpaka ipewe uhai upya?
- Au changamoto ipo upande wa CRDB Registrar Services ambao ndio wanasimamia malipo ya gawio la Vodacom?
Naomba yeyote mwenye uzoefu wa masuala haya, hasa waliowahi kukumbana na tatizo kama hili, anielekeze:
- Ni wapi haswa ninatakiwa kufuatilia kwa uhakika (Stockbroker, DSE au CRDB Registrar)?
- Na je, kuna namna ya ku-activate tena akaunti yangu ili nipate gawio langu kwa usahihi?
Nashukuru sana kwa ushauri wenu.
Uza tu hizo hisa ni hasaraWakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.