Mzee wa R440
Senior Member
- May 13, 2023
- 115
- 194
[emoji2][emoji2] daah tuseme ni voko huna ama hutaki dhambi ya uongo??Dah...kwa kifupi sijawahi kutongoza...msemakweli mpenzi wa Mungu...
Kutongoza ni kughilibu kwa maneno ya uongo kwa minajili ya kupata huduma au kitu Fulani [emoji2960]