Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,758
Dah mara ya kwanza kupigwa sound aisee niliona aibu darasa zimaa [emoji1]..... Yule mkaka alijua kuniaibisha kwa form 3 wote lkn sikuwahi kumkubalia ata siku moja mpk tunamaliza shule. Lkn watu wote walijua mi nadate na yule mtu lkn si kweli. Yeye alikuwa Yuko open Sana kusema kwa watu, kuwa huyu ni mschana wangu, naletewa vitu ata Mimi mwenyewe sijavitaka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119].
Nikiumwa ss nakuwa km malaika Mimi, na hizi shule zetu za kayumba ohooo sikosi kitu cha kukaa, yeye ameshanitengea tyr, na hivi zilikuwa zimo kichwani kwangu acha kbs [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na alikuwa anasemaga ww lazima nije kukuoa [emoji3]. Nilivyoenda elimu ya juu na yeye akafeli, akaona huyu si level yng tena, nimerudi nikasikia ameoa na ana wtt 2. Sina mawasiliano nae mpk leo. Sikuwah kumpenda.