Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

🀣🀣🀣 goma liliwa
 
Ukajikuta shah rukh khan
 
🀣🀣🀣🀣🀣 hukumla pia mpaka anaena nchi za watu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 daaah
 
🀣🀣🀣🀣🀣 hukumla pia mpaka anaena nchi za watu
Miaka mingi imepita mkuu tulipotezana ,tukakutana tena .Namuona huko Facebook anapost tu.
 
Daaah up to now naaproach mademu ila naambulia vibuti sijui Nina kamkosi gani

Hadi pisi za chuo zinanikataa
🀣🀣🀣🀣 mkuu ni badilish akwa mbinu tumia tofauti tofauti
 
Aisee[emoji39][emoji39]
 
Duuh
 
Zamaani kutamu sana
 
Florida huyo 😝😝😝 jina tamu sana
 
Mi nilikuwa namvizia demu akitoka shule enzi anasoma jangwani...akipita kitaa mi naunga nae mpaka kwao..Cha ajabu siongei nae Domo linakuwa zito..hata Salam nashindwa toa..yaani ilikuwa kibubu bubu,kesho Tena hivyohivyo...MTOTO DORINE KWANINI LAKINI?!!!IPO SIKU NITAKUTAFUTA TU HATA KAMA UMEOLEWA NITAKUTAFUNA TU..
 
🀣🀣🀣 daah
 
Nakumbuka nikiwa darasa la nne kulikuwa na wadada wawili marafiki sana walioshibana sasa kila mmoja akawa ananitaka ki mpango wake, na shule nilijulikana kwa vitu viwili, 1.Kuchelewa 2. na kushika namba moja kwa kila mtihani mpaka namaliza darasa la 7,

Basi wale wadada walikuwa wamenizidi madarasa mawili ila kiumri nilikuwa nimewazidi maana nilichelewa kuanza shule kisa kamali za karata (chafu tatu)
So siku moja kila mmoja akanifuata ki mpango wake kwa kuniambia anatamani tuwe wapenzi tena kwa kunipa vijisent

Me kutokana na ushamba harafu ndio mara yangu ya kwanza nikawa naogopa nikawa nawakwepa, wakiandika barua wakizituma sijibu, ikatokea siku moja mwanafunzi wa shuleni akafariki basi tukatawanyishwa mapema na njia ya kwenda home ilikuwa lazima upitie msitu wa secondary furani hivi, mmoja wa wale mademu akanifuata nyuma nyuma nilipofika kwa ule msitu nilikuwa peke yangu akanishika mkono akaanza kunikumbatia mara busu za lazima akanivuta mstuni ndani akavua nguo ile namuona uchi wake aisee nilikimbia mbio naogopa,

Rafiki yake alipofahamu kilicho tokea walizibuana wakawa maadui mpaka kwa wazazi maana waliishi karibu karibu.
Mpaka leo hii ukubwani tukikutana wananisimanga kuwa me domo zege,
mmoja amesha olewa, mwezake ndo kahaba wa kujiuza kwenye majiji makubwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…