hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
πππMimi mara ya mwisho ni mwaka 2000 pale nilipoona Mtoto wa kihindi wa miaka minne amechokozwa na Baba yake...
mara akasema stupid Kumar..kisha akapaa juu kupitia darini akafika angani na kudandia Helcopter huku anamnyooshea Dady wake kidole