Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

Wakati nipo form 2 Kuna ya mwamba mmoja nilikuwa nalala nae mtaani Chumba kimoja kitanda tofauti, kwenye maongezi jamaa alikuwa anaonyesha kuwa anachukia video za porno ,sasa siku moja night nikahisi sauti za miguno huku akicheki video katika simu yake .

Kesho yake nikamuomba simu yake nikapekua mafile yote hamna kitu lakini jamaa daily anawatch ,siku moja nikaamua nipekue upya kiswaswdu chake bila kuacha kitu mwanzo mwisho sasa file moja nikakuta refu sana nikalichimba baada ya safari ndefu mbele nikakuta folder moja limeandikwa "hatari" nikaclick nikakuta lingine "shauri Yako" tena nikakuta "usiwe mbishi rudi" nikaclick na hilo nikakuta "haya ingia" hapo nikakuta videos chafu jamaa amezificha .
 
Amini usiamini kuna jamaa alienda ukweni...akamfumania baba mkwe anapiga punyeto.🙃🙃
 
Back
Top Bottom