Maradhi yanayomsibu binadamu na tiba yake

MziziMkavu,nimekuwa nikizoma na kuona thread zako na jinsi unavyotusaidia sana watu kupona maradhi.tunakushukuru sana kwa hilo,tunakuombea uzidi kutusaidia Mwenyezi Mungu azidi kukupa uwezo zaidi na zaidi. sasa katika kupitia nyuzi zako nyingi sana natafuta tiba ya kuondoa mawe katika gall bladder.ninaamini ipo tiba mbadala ya ugonjwa huu kuliko mtu kufanyiwa operation ktk umri mkubwa.Natanguliza shukrani zangu.
 
Thread hii ina faida kubwa sana ma shaa Allaah. Shukran Mzizi Mkavu
 
Last edited by a moderator:

bro nina ndugu angu anatatizo kubwa naomba namna.ya kupata mawasiliano yako nikueleze kwa utulivu huenda ukajua suruhu ya hilu.pls pls
 
bro nina ndugu angu anatatizo kubwa naomba namna.ya kupata mawasiliano yako nikueleze kwa utulivu huenda ukajua suruhu ya hilu.pls pls
Ukinitaka mimi Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Doctor.MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Pia nina tibu Mtu Mwenye Ukimwi HIV, Maradhi yoyote yale ya Kansa Aka Saratani, Maradhi ya Kifuwa kikuu,Maradhi ya Hepatitis B, Ugonjwa wa kisukari na Upungufu wa Nguvu za Kiume.
 
Salaam. Mm nina ndugu yangu analalamika mwili kusikikia baridi na kutetemeka na miguu kukosa nguvu. Hili ni tatizo gani?
 
Salaam. Mm nina ndugu yangu analalamika mwili kusikikia baridi na kutetemeka na miguu kukosa nguvu. Hili ni tatizo gani?
Mwili kusikia baridi kama amekwenda kupima hospitali hawajaona kitu atakuwa ana Maradhi ya Upepo wa Shetani mbaya Aka Pepo Mchafu uliomkumba ninaweza kumtibia ukiweza kunitafuta kwa wakati wako. Ukinihitaji tiba toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Doctor.MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
na tetekwanga kwa wakubwa...nahc kufakufa
Tafuta Asali safi ya nyuki jipakae Sehemu zenye maradhi asubuhi na jioni utapona. Dawa ingine Chukuwa giligiliani ambapo inapaswa kupondwa pamoja na karoti na kuchanganywa na maji kisha chemsha kwa dakika 10 na uchuje na kunywa maji yote kwa siku moja. Endeleza hizo tiba 2 kwa siku 7 utapona.
 
asante.ila Cjui Gigiliani ni nn
 
asante.ila Cjui Gigiliani ni nn
Gigiliani kwa lugha ya kiingereza inaitwa (Coriander) ni jamii fulani ya majani na mbegu utatafuta majani ukikosa majani hatambegu pia itatosha.Angalia picha.Nenda sokoni kisutu kama upo mjini Dar kaulize au kwenye maduka ya dawa za kisuana kaulize mbegu za Gigliani utazipata.



 
Shukran kwa njia ya tuba mbadala maana angekuwa yule bingwa Fulani angeanza nitumie 20000 nitukumie formula hii ni kwa ajili ya kuendeshea ofisi na viscreen shot kibao vya kubumba
 
Vp kujisikia joto kifuani sababu ni nini
 
MziziMkavu yamenikuta mimi, naomba msaada wadau, sina amani na hili khaaa nimepatwa na ugonjwa kwa mujibu moja ya post toka hapa jamiiforum unaitwa basili, hii ni baada ya kwenda hospital pale kairuki nakuambia hivyo...kuna nyama imetoka pembeni mwa haja kubwa hii nyama inanipa wakati mgumu sana..Naombeni msada wenu wadau nifanyeje ili kuondoa nyama hii...
cc MziziMkavu
mshana jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…