Maradhi yanayomsibu binadamu na tiba yake

Maradhi yanayomsibu binadamu na tiba yake

KUTOKWA KWA MKOJO KWA WINGI BILA YA KHIARI (POLYURIA): dawa yake hiyo kutwa mara mbili asubuhi kabla ya chakula.

Kanuni ya Kwanza
: Pika majani ya matango kisha unywe robo kikombe cha chai kutwa mara tatu.

Kanuni ya pili: Chukua Bizrulqutni vijiko vitatu vikubwa uchemshe ndani ya maji lita moja na nusu. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara mbili.

MARADHI YA MTU AU MTOTO KIKOJOZI: Kikojozi ni mtu ambae hukojoa kitandani usiku au mchana wakati anapokua amelala usingizi. Anaweza kuwa mtoto au mtu mzima SABABU: Sababu kubwa za mtu kuwa kikojozi ni pamoja na Kulegea kwa kibofu cha mkojo Kuota usingizini kuwa mtu anakojoa, na kuwa na usingizi mzito kuliko kiasi.

KULEGEA KIBOFU: Ikiwa kibofu cha mkojo kimelegea mkojo utakua hauna kizuizi cha kuzuia unapokua umeshakusanyika kwenye kibofu.

TIBA: Chukua asali nusu lita, unga wa kamun aswad vijiko sita vikubwa na unga wa habat soda vijiko vitatu vikubwa halafu ukoroge vyote pamoja. Chota vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu wa dawa ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto halafu unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili.

KUKOJOA KWA SABABU YA NDOTO: Sifa ya mtu anayekojoa kitandani akiwa usingizini anaweza akaota kuwa amekwenda chooni kukojoa lakini akiamka asubuhi anajikuta kuwa amekojoa kitandani, na anapokuwa anakojoa kitandani huwa anahisi raha wakati ule wa kukojoa.

SABABU: Hii huwa ni athari za ndoto za kishetani kwa sababu shetani humuotesha ndoto za kukojoa na akamkojoza kwa kihakika.
Hali hii pia huwatokea watu wazima bila kujali jinsia wala umri, wazima au wagonjwa

TIBA: kAMA NI MKRISTO ASOMEWE BIBLIA KABLA YA KULALA NA KAMA NI MUISLAM FANYA HIVI Hakikisha umeshika udhu kabla ya kulala halafu usome kabla ya kulala Ayatul Qursi, Suratul-Ikhlas, Suratul Falaq na Suratul Nas mara tatu tatu kama inavyosema hadithi. Pia kabla ya kulala uombe dua ya kulala. Ukifanya hivyo shetani atakaa mbali nawe na ndoto hizi hazitatokea tena.

ANAEKOJOA KWA SABABU YA USINGIZI MZITO: Hali kama hii huwatokea watoto ambao hucheza sana mchana kisha wakachoka. Wanapoenda kulala huwa wamechoka sana na hata usiku wakati wamelala hawawezi kupata hisia ya kutaka kwenda kukojoa chooni kwa sababu wamezidiwa na usingizi.

TIBA: Tiba yake ni mtoto aweze kupunguza mchezo na aweze kulala kidogo mchana kama ilivyo katika mafundisho ya sunnah. Tiba ya pekee ni mtoto adhibitiwe na kupangiwa ratiba za kucheza, na kupangiwa muda wa kutosha kuweza kupumzika, ikiwezekana alale mchana kidogo.

Anayeweza kufuata haya Maagizo yangu ayafuate yatamsaidia asiweze asiyafuate mimi sijamlazisha Mtu nimefundishwa bure na mimi nimetoa hapa bure.

MAKE IT OR BREAK IT source.MziziMkavu.
asante kwa msaada wako,

Km utaweza nayaomba kwa njia ya PDF,

Natanguliza shukrani!

0753181739
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dawa ya ngoma ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia na ukapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905013460377 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

Dawa ya ngoma ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia na ukapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

Daah! Sina bahati sijui hatasielewi.
Kwani mkuu tiba ya fangasi sehemu za siri unaweza ukanifamisha na wengine wana thubutu kusema kwamba iliyoanzia tumboni, pia nikioga huwa nawashwa mwili wote, na huwa napatikaniwa au natokwa na mate ya makohozi hata kama nikiwa sina kikohozi....mwisho kipindi cha masika huwa na mafua yasiyokatika, hasa hali ikiwa ni ya baridi...!

Kazi njema.
 
Nigeria to Tz kaz imeanza
Dawa ya ngoma ninayo ukihitaji nitafute kwa wakati wako nitaweza kukutibia na ukapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu

MELATONIN?

Hiki ndo kitu gan hk Mzizimkavu name knapatkana wap?

MELATONIN

Overview Information
Melatonin is a hormone found naturally in the body. Melatonin used as medicine is usually made synthetically in a laboratory. It is most commonly available in pill form, but melatonin is also available in forms that can be placed in the cheek or under the tongue. This allows the melatonin to be absorbed directly into the body.

Some people take melatonin by mouth to adjust the body's internal clock. Melatonin is most commonly used for insomnia and improving sleep in different conditions. For example, it is used for jet lag, for adjusting sleep-wake cycles in people whose daily work schedule changes (shift-work disorder), and for helping people establish a day and night cycle.

How does it work?
Melatonin's main job in the body is to regulate night and day cycles or sleep-wake cycles. Darkness causes the body to produce more melatonin, which signals the body to prepare for sleep. Light decreases melatonin production and signals the body to prepare for being awake. Some people who have trouble sleeping have low levels of melatonin. It is thought that adding melatonin from supplements might help them sleep. https://www.webmd.com/vitamins/ai/ingredientmono-940/melatonin
 
Ugonjwa wa figo na vijiwe

UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa, hasa wenye umri mkubwa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani hata vijana wanapatwa na tatizo hili ambalo kitalaamu linajulikana kama Gallstones.

Mawe ya kwenye figo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo na wakati mwingine huwa vikubwa mfano wa dole gumba. Hutokana na ulaji wa vyakula usio sahihi.

Tiba ya tatizo la mawe kwenye figo, mara nyingi huwa ni upasuaji wa kuvitoa na hugharimu fedha nyingi na pia husababisha maumivu wakati wa kufanya oparesheni hiyo. Lakini kwa kutumia tiba mbadala ya vyakula, unaweza kuondoa mawe hayo bila kufanya oparesheni.

Maelezo haya huwezi kuambiwa na daktari hospitali hata siku moja lakini kwa kusoma makala kama haya utajifunza njia nyingine ya kuutibu mwili wako kwa njia ya vyakula. Kama mawe yaliingia tumboni kwa njia ya vyakula, bila shaka yanaweza kutoka pia kwa vyakula.

JINSI YA KUONDOA MAWE KWENYE FIGO
Kuna tiba mbadala za aina nyingi, lakini katika makala yangu ya leo nitawajulisha njia mbili unazoweza kuchagua moja wapo. Moja ni kufanya kwa muda wa siku sita mfululizo na nyingine ni ya kufanya kwa siku moja tu, chaguo ni lako.

NJIA YA SIKU SITA
Katika siku tano za kwanza, kunywa juisi halisi ya tufaha (pure apple juice) glasi kubwa nne kila siku kwa siku tano mfululizo. Au kula tufaha nzuri tano badala ya juisi. Ili kuwa na uhakika na juisi halisi, ni vyema ukanunua tufaha za kijani (green apple) na ukatengeneza juisi mwenywe. Juisi hii au matufaha hayo yatafanya kazi ya kulainisha kwanza mawe tumboni.

Siku ya sita, anza siku yako kwa kula mlo wako wa kawaida hadi saa nane mchana, kuanzia saa nane utatakiwa ufunge usile kitu chochote mpaka asubuhi siku inayofuata ndiyo ule chakula chako.

Ikifika saa 12 jioni, kunywa kikombe au glasi moja kubwa ya maji uliyochanganya na kijiko kimoja kidogo cha magneti salfeti (Magnesium Sulphate) inapatikana kwenye maduka ya madawa. Weka maji kwenye glasi au kikombe, chukua chumvi ya mawe, chota kijiko kimoja kidogo, tia kwenye maji hayo na changanya, kisha unywe mara moja. Chumvi ya mawe husaidia kufungua njia.

Ikifika saa mbili usiku, rudia kunywa mchanganyiko huo wa maji na chumvi. Baadaye saa 4 usiku, changanya nusu kikombe cha juisi halisi ya limau (fresh lemon juice) na nusu kikombe cha mafuta halisi ya mzaituni (pure olive Oil). Hiki ndiyo kitakuwa kinywaji chako cha mwisho usiku huo, kisha nenda kalale.

Vinywaji hivyo vitasaidia mawe kutoka kwa njia ya haja kubwa bila shida. Usiku huo huo, unaweza kusikia haja ya kwenda chooni, au vinginevyo utasikia asubuhi.

NJIA YA SIKU MOJA
Ukisha kula chakula chako cha usiku, usile kitu kingine tena hadi kesho yake asubuhi ambapo utakunywa glasi kubwa tatu za juisi ya tufaha za kijani. Usile kitu kingine hadi mchana unywe tena juisi ya tufaha 3. Usile kitu kingine tena hadi usiku wakati wa chakula cha usiku, unywe tena juisi ya tufaha kubwa 3 za kijani kama mlo wako wa usiku.

Iwapo utashindwa kutengeneza juisi mwenywe, basi bora ule tufaha zenyewe kiasi kilichotajwa. Katikati ya mlo na mlo, utaruhusiwa kunywa maji ya kawaida tu na siyo kitu kingine. Hii ina maana utafunga siku moja kwa kula tufaha na maji tu.

Muda mfupi kabla ya kwenda kitandani, tengeneza juisi halisi ya malimau matatu, changanya na nusu kikombe cha mafuta ya mzaituni
(Pure olive oil) kunywa kisha panda kitandani, kinywaji kinaweza kisiwe na ladha nzuri, lakini usijali, ndiyo dawa.

Ukiwa kitandani, lalia ubavu wako wa kulia na ukunje magoti kadiri uwezavyo na ulale hivyo kwa muda utakaoweza au hadi hapo utakapopitiwa na usingizi. Ulalaji wa aina hii huwezesha utokaji wa mawe kwenye figo na kwenda tumboni kwa ajili ya kutoka kwa njia ya haja kubwa.

Ukijisikia haja ya kwenda chooni, fanya hivyo haraka, vinginevyo utalala hadi asubuhi ndiyo utakwenda chooni. Ili kuona kama vimawe vimetoka, weka utaratibu wa kukagua haja yako na utaona vitu rangi ya kijivu au kijani vinavyongaa na hapo utakuwa umefanikiwa.

Shukrani kwa elimu hii Dr.
 
MELATONIN

Overview Information
Melatonin is a hormone found naturally in the body. Melatonin used as medicine is usually made synthetically in a laboratory. It is most commonly available in pill form, but melatonin is also available in forms that can be placed in the cheek or under the tongue. This allows the melatonin to be absorbed directly into the body.

Some people take melatonin by mouth to adjust the body's internal clock. Melatonin is most commonly used for insomnia and improving sleep in different conditions. For example, it is used for jet lag, for adjusting sleep-wake cycles in people whose daily work schedule changes (shift-work disorder), and for helping people establish a day and night cycle.

How does it work?
Melatonin's main job in the body is to regulate night and day cycles or sleep-wake cycles. Darkness causes the body to produce more melatonin, which signals the body to prepare for sleep. Light decreases melatonin production and signals the body to prepare for being awake. Some people who have trouble sleeping have low levels of melatonin. It is thought that adding melatonin from supplements might help them sleep. https://www.webmd.com/vitamins/ai/ingredientmono-940/melatonin
Mbna hyo Melatonin uliiandika km inatibu UKIMWI af kwny hayo maelezo niliyosoma halijaongelewa kabsa hilo
 
Heshima kwako mzizimkavu,naomba unielekeze dawa kupata mimba haraka.
 
Back
Top Bottom