Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake


 
Wewe unatakiwa ufungwe kamba na kuwahishwa haraka sana Mirembe.
 
Wewe unatakiwa ufungwe kamba na kuwahishwa haraka sana Mirembe.
Kama ka ukweli kwenye hoja ya jamaa. Chezea Mangi wewe. Mwashambwa utaendelea kuwa CHAWA mwaminifu asiye na burungutu. πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ¦ˆπŸ˜œπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈπŸ˜œπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…