Kwa reliability na economy top of the list ni Toyota mzee. You have a choice of body styling either utapenda hatchback au sedan?Thank u mate,
Reliability with a bit of economy (ambayo hailii mafuta sana boss
Thank u bossKwa reliability na economy top of the list ni Toyota mzee. You have a choice of body styling either utapenda hatchback au sedan?
Sedani ni muundo wa mark 2, altezza, crown. Nadhani uko familiar na hizo gari.
Hatchback ni muundo wa passo, runx ama starlet.
Hot hatches ni Toyota blade, Runx, Rumion. Zote ni economy and reliable. Chukua moja wapo kati ya hizo ziko ndani ya budget yako kabisa.Thank u boss
Napendelea hatchbacks
Akikupatia niombee na mimi 500k nilipe kodi week ijayo hawezi kosa gari la 17MNaomba laki 5 nianze biashara mkuu, gari la M17.5 huwezi kosa mkuu.
Akikupatia niombee na mimi 500k nilipe kodi week ijayo hawezi kosa gari la 17M
Comments za aina hii ni za Smart 911 [emoji23][emoji23]Wanakuja kukupa muongozo mkuu
[emoji16] hiyo ni reliable lakini si economy..Tafuta Rav 4 ya zamani .....nyuma ya kilitime itakufaa
hizo gari hapo kwa budget yake anapata???Specify
Unaishi maeneo gani!!mabomde kuinama au Lami mpaka vichochoroni??
Sedan au SUV??
La Familia,Kazi nzito(shamba) au misele ya hapa na pale??
All in all I recommend, Go for Vanguard,Rav 4,harrier
Ngoja waje wataalam
hii hawezi pata kwa budget aliyokuwa nayoSubaru Forester
Mil 18 utapata usafiri ila hauwezi kupata Gari.Extrovert na ndugu zote wa JF, nitashukuru kwa miongozo yenu.
Am good at several things ila kiukweli katika magari sio mjanja kama nyie.
Tafuta kili time .....cc1800 vvti * sio d4 ...nunua kwa mtu .....kwa hela hiyo maana kuagiza inafika 23m .....2002 huko ! Mimi ninazo zote![emoji16] hiyo ni reliable lakini si economy..
Jamani😄😄Mil 18 utapata usafiri ila hauwezi kupata Gari.
Kama pesa uko nayo bank naweza kukupa hii spacio chassis number. Ukasajili mwenyewe tu. Engine ndogo wese inanusa tu. 1490ccExtrovert na ndugu zote wa JF, nitashukuru kwa miongozo yenu.
Am good at several things ila kiukweli katika magari sio mjanja kama nyie.
Amepewa jibu sahihiJamani😄😄
Bei gani hii?Kama pesa uko nayo bank naweza kukupa hii spacio chassis number. Ukasajili mwenyewe tu. Engine ndogo wese inanusa tu. 1490cc
View attachment 2479811