Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Uzisearch kwamba ww huko barabarani huzionagi 😳😳Ahsante boss.. ngoja niziresearch
Thank u man
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzisearch kwamba ww huko barabarani huzionagi 😳😳Ahsante boss.. ngoja niziresearch
Thank u man
Rumion auButi la jeje unyama zaidi
NdioRumion au
Ndio
Kwanini? Gari inasura nzuri hatari kama sio hiyo second selection iwe RunxMna mambo jamani 🤣🤣
Hiyo kuiita buti la jejeKwanini? Gari inasura nzuri hatari kama sio hiyo second selection iwe Runx
Chukua Wish New model unaipata kwa hio beiNiko nje ya dar,
Wilayani huku kuna rough roads
😂😂Hiyo kuiita buti la jeje
Ndefu ka trenChukua Wish New model unaipata kwa hio bei
Mimi RAUM na RUMION na wish new model huwa nazikubali sanaSubaru impreza, Toyota rush, Rumion, ist, wish, Raum, spacio.
kama ni mimi ningeenda na spacio.
Hahahah unajua hata mimi sikumwelewa mwanzo kumbe ni Tako la nyani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]KOTA LA NINYA 😀
Chukua Land cruiser LC 2000 au vx v8Extrovert na ndugu zote wa JF, nitashukuru kwa miongozo yenu.
Am good at several things ila kiukweli katika magari sio mjanja kama nyie.
Bei nzuriNaitoa kwa 15M tu mkuu, sina tamaa.
Basi tupatie wewe mkuuMmeanza Uchawi!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwanini dada poa.Umekaa kama dada poa
Monkey ButtTako la nyani 🤣🤣
Harrier
Ongeza na Alex, na ractisHot hatches ni Toyota blade, Runx, Rumion. Zote ni economy and reliable. Chukua moja wapo kati ya hizo ziko ndani ya budget yako kabisa.