Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Ngoja waje wale wa ‘ kwa hela hiyo labda uagize bajaj’
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unataka gari au usawa😀 maneno yawe machache mzeeNilivoona sina tamaa nikajua huu usawa kama sio magomeni basi lumumba
Ukiombwa tigo usikatae pia unatakaje hela ya mwanaume mwenzioNaomba laki 5 nianze biashara mkuu, gari la M17.5 huwezi kosa mkuu.
Mbona unashoboka mzeebaba, umeombwa wewe!??Ukiombwa tigo usikatae pia unatakaje hela ya mwanaume mwenzio
Sababu kubwa ya vijana kama wewe mliojiingiza kulambwa ni kutopenda kufanya kazi kwa weredi n'a kuomba wanaume wenzenu hela za bure .Mimi mwanaume mwenzangu akitaka tusikae tukaongea anipe hela ya bure .Acha kulegea yaan jamaa usikute hata mademu zake hajawah wapa lakitano ww d'ume zima unabongoa et nipe laki tanoMbona unashoboka mzeebaba, umeombwa wewe!??
Mashoga bila kuongelea kufukua mitaro huwa hamridhiki kabisa!!
Ni mwanaume mwenzangu ila uwezo kifedha kanizidi, punguza kijicho kijana. Utakufa kifo cha mende miguu juu.
Okay tuachane na hayo maneno hapo juu, nisave buku tano ya karibu hapo.
Subaru Forester
Buti la jeje unyama zaidi
Buti la jeje ndio gari gani?![emoji38]
Kuna Discovery inauzwa 18M nikupe connection?
Rumion hiyo mzeeButi la jeje ndio gari gani?![emoji38]
Hahahhahahhah daaahAmesema gari sio bajaji.
Kabisa mkuu mpaka nimemshangaa mwamba.Tatizo watu wanachukulia serious kila kitu. Na sijui kwanini wanapenda sana kutukana pasipohitaji hata matusi.
Mimi nilijua tuu umetania ndio maana nikajoin the fun sidhani kama kuna mtu kachukulia serious comments zetu.
Tuma picha tuone ya Toyota.Kamata boxser 150 mjomba