Marafiki, Tsh 18 million iko mfukoni, niageze gari gani (TOYOTA)?

Marafiki, Tsh 18 million iko mfukoni, niageze gari gani (TOYOTA)?

Extrovert na ndugu zote wa JF, nitashukuru kwa miongozo yenu.

Am good at several things ila kiukweli katika magari sio mjanja kama nyie.
Kuagiza gari ni gharama..sababu upo mkoani hata ukinunua gari Dar utakuwa umeagiza.. Kwa bajeti yako na mazingira uliyopo ni bora uagize gari kutoka Dar es Salaam.. Ukisema uagize toka Japan hiyo hela yote itaishia kwenye meli na kodi..!

18M hapa Dar unapata
Prado
Rav4
Surf
Nzuri kabisa..!
 
Gari is all about taste na wewe unahitaji nini?

Do you want economy?
Do you want comfortability?
Do you want reliability?
Do you want performance & driving dynamics?
Hahaha mkuu acha mambo ya awamu ya 5, kuna comfortability gani kwenye toyota ya 18M bhana.
 
Kama dhumuni ni;

1. kuwa ulaji mdogo wa mafuta chukua Toyota IST.
2. Comfort na spidi chukua Toyota Crown au mjerumani yoyote (bmw/benz/audi)
3. Kama unataka gari ya juu chukua Toyota Harrier old model.
4. Unataka all wheel drive nzuri na kutupigia kelele mjini tafuta Subaru.
5. Unataka heshima mjini chukua BMW au Benz lakini usiwe mbahili wa kuigharamia.
 
Napendekeza upate Toyota Primio mkuu, ukipata yenye 1NZ itapendeza zaidi maana ni economical

Pia kwenye pesa yako hiyo chenchi kidogo itabaki utanywea bia
IMG_0019.jpg
 
Akikupatia niombee na mimi 500k nilipe kodi week ijayo hawezi kosa gari la 17M
Daah aisee basi tufanye atupe hiyo 1.5M mimi 500k na wewe 500k. Huenda wakajitokeza wengine hata watano hao tutawapa 100k kila mmoja.
 
Kuna Discovery inauzwa 18M nikupe connection?
 
Back
Top Bottom