Marafiki, Tsh 18 million iko mfukoni, niageze gari gani (TOYOTA)?

Marafiki, Tsh 18 million iko mfukoni, niageze gari gani (TOYOTA)?

Specify
Unaishi maeneo gani!!mabomde kuinama au Lami mpaka vichochoroni??

Sedan au SUV??

La Familia,Kazi nzito(shamba) au misele ya hapa na pale??

All in all I recommend, Go for Vanguard,Rav 4,harrier

Ngoja waje wataalam
kwa bajeti ya 18 M? Mbona unampoteza mkuu hayo ulotaja mbele ya 23 M kwa ushuru wa sasa wa Tharahehi
 
Back
Top Bottom