Marafiki wa kutoka out/bata

Marafiki wa kutoka out/bata

Sasa tutoke kila mmoja na gari lake kama tupo 6 si utakuwa msafara wa JPM....

Kama tupo 6 twende na Lyimo moja....ila kwenye matumizi kila mmoja afe kivyake.

Haya mambo yanakera pale unakuta wa3 wapo na babes wao huku wengine mpo single....
[emoji23] eti msafara wa...
 
ngoja nimpigie magufuli.kumbe bado kuna watu mnakula bata eeh[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom