Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] eti msafara wa...Sasa tutoke kila mmoja na gari lake kama tupo 6 si utakuwa msafara wa JPM....
Kama tupo 6 twende na Lyimo moja....ila kwenye matumizi kila mmoja afe kivyake.
Haya mambo yanakera pale unakuta wa3 wapo na babes wao huku wengine mpo single....
Haha washkaji hawakuchoki lilikua ni swala la muda tuu wenyewe walianza.. sasa hivi nikipataga likizo nawavuta tu pretoria huku... siwachoki maana hata wao hawakunichoka wala hawakuona nawaboa... [emoji3][emoji3]utakua ulikua unaboa kinyama
Unapatikana wapi mkuu?peke yangu naboreka, namimi sio tegemezi asilimia mia, kila mtu ale chake bwana