Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great 👌 Mshana Jr....Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani
Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!
Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkachunga pamoja,mkalima pamoja mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!
Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!
Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati
Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]
Great great.......
Yeah wewe umekutana na bahati mbaya pole mno!Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
Kama kungekua na urafiki wa mwanamke bila ngono, kwa kweli ninge tafuta rafiki wakike wako sincere, bahati mbaya hapa Tz wanawake kama sio wote asilimia kubwa ukiwa rafiki yake anawaza mahusiano ya ngono, wakati mimi hiyo mada nilisha funga.Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
Mimi kwaniliyopitia kwa marafiki kwaumri huu sihitaji Tena marafiki kwani baada ya kuachana na mambo ya urafiki sasaivi naishi maisha ya amani SanaKama kungekua na urafiki wa mwanamke bila ngono, kwa kweli ninge tafuta rafiki wakike wako sincere, bahati mbaya hapa Tz wanawake kama sio wote asilimia kubwa ukiwa rafiki yake anawaza mahusiano ya ngono, wakati mimi hiyo mada nilisha funga.
Mkuu uko sahihi sana, ila inategemea na kazi unazo fanya, kuna kazi zingine inakubidi upate urafiki wa kinafiki, bila hilo kazi iendi pia mimi nimeona mengi na urafiki wa hawa waswahili ni wabaya juliko nyoka.Mimi kwaniliyopitia kwa marafiki kwaumri huu sihitaji Tena marafiki kwani baada ya kuachana na mambo ya urafiki sasaivi naishi maisha ya amani Sana
Tuko sawa hata mimi hivyo hivyo sasa hivi siwahitaji kabisa nina marafiki wapya wa ukubwani.Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
Hao wakinafiki wapo lakin tunakutana kazini,kwenye matukio muhimu lakin sitaki wanijue Zaid ya hapo wameshanizalilishaga sanaMkuu uko sahihi sana, ila inategemea na kazi unazo fanya, kuna kazi zingine inakubidi upate urafiki wa kinafiki, bila hilo kazi iendi pia mimi nimeona mengi na urafiki wa hawa waswahili ni wabaya juliko nyoka.
Hao ndo binaadamu wetuHao wakinafiki wapo lakin tunakutana kazini,kwenye matukio muhimu lakin sitaki wanijue Zaid ya hapo wameshanizalilishaga sana
Hao waukubwani ndio balaa kabisa usipokua makin wanakuangamiza japokua sio wote wapo ambao wanautuTuko sawa hata mimi hivyo hivyo sasa hivi siwahitaji kabisa nina marafiki wapya wa ukubwani.
Ni kweli lakini unaishi nao kwa akili siyo lazima wajue mambo yako yote. Mnasaidiana katika maisha basi.Hao waukubwani ndio balaa kabisa usipokua makin wanakuangamiza japokua sio wote wapo ambao wanautu