Marafiki wa kweli ni wa utotoni

Great 👌 Mshana Jr....
 
Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
 
Yeah wewe umekutana na bahati mbaya pole mno!
 
Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
Kama kungekua na urafiki wa mwanamke bila ngono, kwa kweli ninge tafuta rafiki wakike wako sincere, bahati mbaya hapa Tz wanawake kama sio wote asilimia kubwa ukiwa rafiki yake anawaza mahusiano ya ngono, wakati mimi hiyo mada nilisha funga.
 
Mimi kwaniliyopitia kwa marafiki kwaumri huu sihitaji Tena marafiki kwani baada ya kuachana na mambo ya urafiki sasaivi naishi maisha ya amani Sana
 
Mkuu uko sahihi sana, ila inategemea na kazi unazo fanya, kuna kazi zingine inakubidi upate urafiki wa kinafiki, bila hilo kazi iendi pia mimi nimeona mengi na urafiki wa hawa waswahili ni wabaya juliko nyoka.
 
Sijui niseme ninabahati mbaya maana marafiki wote niliowahi kua nao kuanzia wautoto wote walikua wasaliti..sasaivi tumebaki kujuana tuu na Wala sihitaji Tena rafiki wameishia kuniumiza tuu[emoji24]
Tuko sawa hata mimi hivyo hivyo sasa hivi siwahitaji kabisa nina marafiki wapya wa ukubwani.
 
Mkuu uko sahihi sana, ila inategemea na kazi unazo fanya, kuna kazi zingine inakubidi upate urafiki wa kinafiki, bila hilo kazi iendi pia mimi nimeona mengi na urafiki wa hawa waswahili ni wabaya juliko nyoka.
Hao wakinafiki wapo lakin tunakutana kazini,kwenye matukio muhimu lakin sitaki wanijue Zaid ya hapo wameshanizalilishaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…