Marafiki wa utotoni ni wabaya sana, wala siwapendi

Marafiki wa utotoni ni wabaya sana, wala siwapendi

Na unaweza kuwapita kote kwa mbio ila sio kwenye kuipokea mikoba ya walimu wanapofika shule
Hahaha 😂, kweli kabisa. Halafu mwalimu akitaka kumtuma mwanafunzi nyumbani kwake wao huwa ni wa kwanza kujitokeza kwa sababu mara kadhaa hukuta ukoko wa wali nyumbani kwa mwalimu na kuanza kuukwangua so fursa kama hiyo kamwe hawaichezei.
 
Hapana, Mimi rafiki yangu alifukuzwa shule ya boarding sababu aligoma kunitaja maana tulitoroka shule usiku kwenda kuangalia mpira, Ile kurudi mlinzi alimdaka ye sisi tukafaulu kuingia mabwenini bila kuonekana sura (Maana mlinzi alituona kwa mbali)

Jamaa akaambiwa atutaje kagoma Hadi kufukuzwa shule.....🫡🫡
 
Rafiki bongo,tena wale ambao unawaamini bila chembe ndiyo wanakuja kukupiga na kitu kizito na hutaamini,rafiki nakutana nae kwenye tukio tunapiga stori za uwongo na kweli,nikimaliza kilichonipeleka hapo napiga chini.
 
Back
Top Bottom