secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #21
Hahaha π, kweli kabisa. Halafu mwalimu akitaka kumtuma mwanafunzi nyumbani kwake wao huwa ni wa kwanza kujitokeza kwa sababu mara kadhaa hukuta ukoko wa wali nyumbani kwa mwalimu na kuanza kuukwangua so fursa kama hiyo kamwe hawaichezei.Na unaweza kuwapita kote kwa mbio ila sio kwenye kuipokea mikoba ya walimu wanapofika shule
Mkuu tatizo la binadamu wa siku hizi ni wabishi Sana...
Haujakoma badoutafikiri ni kumanyoko"
Bado sanaHaujakoma bado
HeheheBado sana
Ile mikiingereza unayofungulia nyuzi ulijulia wapi.Mm sijasoma kabisa π
Nakuwa nmelewaIle mikiingereza unayofungulia nyuzi ulijulia wapi.
Yaani nilisoma kiingereza chako huwa sioni error yoyote mpaka nikawa najisemea kuwa huyu jamaaa ana PhD ya lugha.Mm introvert
Nakuwa nmelewa
Ww jamaa mnafiki sana πYaani nilisoma kiingereza chako huwa sioni error yoyote mpaka nikawa najisemea kuwa huyu jamaaa ana PhD ya lugha.
Hahaha π hamna mkuuWw jamaa mnafiki sana π