The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Uzuri wake upate mtu anayezijulia vizuri hizo mambo raha kwenda mbeleha ha ha ha ha lolz.. hizi mambo bana ziache tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wake upate mtu anayezijulia vizuri hizo mambo raha kwenda mbeleha ha ha ha ha lolz.. hizi mambo bana ziache tu
Ahhh kuna wakurupukaji wazuri wewe.....unashtukia tu mwenzako anakwambia ''alafu rafiki yako fulani nshamtatulia shida yake!!Kafurahi kweli''
Umejiwekea mpangilio mzuri kweli....wale watoa siri za ndani kwao hua wananiboa kweli.Na hiyo hua inachangia marafiki kutaka kuexperience unayosema first hand kama unaongea tu bila nukta!!!
Tatizo ndio hapo, tunapenda kuoneana aibu na kutokuambiana ukweli
ni kukosa ustaarabu kabisa, tuchukulie unanikuta mie na mpenzi wako, tumewacliana vzr tu kwa cku nzima cjakuambia kama nina shida na mpenzi ako then unajitokea kazini unatukuta pub tunapata moja moto, utanielewa kweli? hapa lawama utazishusha kwangu najua mpenzi wako mtamalizana baadae, labda iwe mmekutania hapo pub na kaam hivyo pia c mbaya nikikujulisha Lizzy nimekutana na Asprin mahali fulani tunapata moja, ile utukute tu inaleta pic ambayo c nzuri.
Uzuri wake upate mtu anayezijulia vizuri hizo mambo raha kwenda mbele
Kwahiyo ni full kujiachia dearest????
Hebu ngoja nicheki inawezekana tayari mpo hiyo sehemu mnapata moja lol!!!ni kukosa ustaarabu kabisa, tuchukulie unanikuta mie na mpenzi wako, tumewacliana vzr tu kwa cku nzima cjakuambia kama nina shida na mpenzi ako then unajitokea kazini unatukuta pub tunapata moja moto, utanielewa kweli? hapa lawama utazishusha kwangu najua mpenzi wako mtamalizana baadae, labda iwe mmekutania hapo pub na kaam hivyo pia c mbaya nikikujulisha Lizzy nimekutana na Asprin mahali fulani tunapata moja, ile utukute tu inaleta pic ambayo c nzuri.
Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand' kwahiyo naomba kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf. mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana kwa marafiki zao??
Kuna watu wengine wanajua mno kuharibu mahusiano ya watu...
Utakuta labda unaongozana na mpenzi wako...
Mtu anakuja anawasilimia....halafu haondoki....
Na yeye analeta stori zake.......
naaaaaaam!
Mpendwa ingekua wote tunafikiria hivi matatizo kwenye mahusiano yangepungua kwa kiasi fulani......sema wanadamu sie wakati mwingine utadhani hatutumii ubongo kufikiri!!!
mmmhh dearest nahisi sijaelewa safe distance ni nini....mimi nilivyosoma nilifikiri ni distance ambayo ni salama kwa marafiki/wenzi ndo nikasema kwa jinsi dunia ilivyo sasa,naweza kufikiria safe distance kutoka kwa wazazi,kaka na dada zangu,lakini marafiki mi naona its not that safe....nisaidie kukuelewa...!!!
mimi nataka nikirudi home nikute honey yupo peke yake
ananukia hivi,msaaafi....nguo nyepesi.....na juice baridi inanisubiri......
get it women....
Kwanza nimejaribu kufikiria kati ya wanawake na wanaume ni wapi hua wanaongoza kwa kukaribisha/weka mazingira ya ukaribu kati ya wenzi wao na marafiki zao bila kupata jibu la moja kwa moja.Nadhani inatofautiana kati ya mtu na mtu maana binafsi sio mtambulishaji mzuri hata kidogo...achalia mbali kuweka/tengeneza mazingira ya ukaribu ila ni mtambulishwaji mzuri na baadhi ya nliotambulishwa kwao tumetokea kua marafiki wazuri sana hivyo tupo karibu!!Na kuna wanaume kutambulisha wapenzi wao mpaka kwa ugomvi!
To the point....mara nyingi wanawake (sio wote..baadhi) ndo hua tunasemwa tukiruhusiwa kua karibu na waume/wapenzi wa marafiki zetu maneno hua mengi mpaka kuwaharibia wenzetu ili tuchukue nafasi zao au kuona tu wakikosa.....sijui kama ndivyo ilivyo kwa wanaume pia!! Hii hua inaendana na ule msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe ambao nao una kaukweli ndani yake.
Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand' kwahiyo naomba kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf. mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana kwa marafiki zao??
Dah!! Wale marafiki zako ambao huwa wanakuja homenilikuambia ukimaliza kula uende ukalale....umejifungia chumbani una chat JF?? nitavunja huo mlango sasa hivi....l.o.l....:bange:
Kuna watu wengine wanajua mno kuharibu mahusiano ya watu...
Utakuta labda unaongozana na mpenzi wako...
Mtu anakuja anawasilimia....halafu haondoki....
Na yeye analeta stori zake.......
nilikuambia ukimaliza kula uende ukalale....umejifungia chumbani una chat JF?? nitavunja huo mlango sasa hivi....l.o.l....:bange:
labda mie nina hofu pia, yaani niwe nae tu bila kukujulisha nadhani nitakata network hata tulichokutania na huyo mpenzi wako ntakisahau, ntakuwa na amani zaidi nikiwa najua unajau...mf ni kama cku moja frnd wangu alikuwa na ishu fulani na mr, na ni mtu anaemtegemea kumsaidia kutatua hiyo ishu, alinical kunieleza na kwa bahati nzuri mr alikuwa anaenda arusha/moshi kikazi, walikutana na walopokuwa wamekutana tu frnd wangu alisahnitumia sms nipo na shemeji hapa kindoroko ndio tunaanza maongezi, hapo mr yeye alikuja kuniambia maucku huko ameshalala kwamba nilikuwa na Lizzy kwenye ile ishu yake niliyoomba nimsaidie, nimemsaidia hivi na vile, unaona utofauti hapo Lizzy, mwanaume alichukulia ni maongezi na najua kutakuwa na maongezi hana haja ya kuniambia ndio naenda kuonana na fulani, but frnd aliona ni lazima kunijulisha kila point, tunaanza/tumemaliza/tumeshatawanyika....