Marafiki wa wapenzi/wenzi!

Marafiki wa wapenzi/wenzi!

Ahhh kuna wakurupukaji wazuri wewe.....unashtukia tu mwenzako anakwambia ''alafu rafiki yako fulani nshamtatulia shida yake!!Kafurahi kweli''

Umejiwekea mpangilio mzuri kweli....wale watoa siri za ndani kwao hua wananiboa kweli.Na hiyo hua inachangia marafiki kutaka kuexperience unayosema first hand kama unaongea tu bila nukta!!!

ni kukosa ustaarabu kabisa, tuchukulie unanikuta mie na mpenzi wako, tumewacliana vzr tu kwa cku nzima cjakuambia kama nina shida na mpenzi ako then unajitokea kazini unatukuta pub tunapata moja moto, utanielewa kweli? hapa lawama utazishusha kwangu najua mpenzi wako mtamalizana baadae, labda iwe mmekutania hapo pub na kaam hivyo pia c mbaya nikikujulisha Lizzy nimekutana na Asprin mahali fulani tunapata moja, ile utukute tu inaleta pic ambayo c nzuri.
 
Tatizo ndio hapo, tunapenda kuoneana aibu na kutokuambiana ukweli

Mhhh kama kutomwambia mwenzako ni kuona aibu na kukataa kutoa namba yako je ni nini???Binafsi namwelekeza mtu kwa rafiki yake kama kweli anataka amwombe yeye.....au ntamwambia tu mwenyewe fulani hivi na vile!
 
ni kukosa ustaarabu kabisa, tuchukulie unanikuta mie na mpenzi wako, tumewacliana vzr tu kwa cku nzima cjakuambia kama nina shida na mpenzi ako then unajitokea kazini unatukuta pub tunapata moja moto, utanielewa kweli? hapa lawama utazishusha kwangu najua mpenzi wako mtamalizana baadae, labda iwe mmekutania hapo pub na kaam hivyo pia c mbaya nikikujulisha Lizzy nimekutana na Asprin mahali fulani tunapata moja, ile utukute tu inaleta pic ambayo c nzuri.

Mpendwa ingekua wote tunafikiria hivi matatizo kwenye mahusiano yangepungua kwa kiasi fulani......sema wanadamu sie wakati mwingine utadhani hatutumii ubongo kufikiri!!!
 
Kuna watu wengine wanajua mno kuharibu mahusiano ya watu...

Utakuta labda unaongozana na mpenzi wako...

Mtu anakuja anawasilimia....halafu haondoki....
Na yeye analeta stori zake.......
 
Kwahiyo ni full kujiachia dearest????

mmmhh dearest nahisi sijaelewa safe distance ni nini....mimi nilivyosoma nilifikiri ni distance ambayo ni salama kwa marafiki/wenzi ndo nikasema kwa jinsi dunia ilivyo sasa,naweza kufikiria safe distance kutoka kwa wazazi,kaka na dada zangu,lakini marafiki mi naona its not that safe....nisaidie kukuelewa...!!!
 
Hebu ngoja nicheki inawezekana tayari mpo hiyo sehemu mnapata moja lol!!!
 
HTML:
Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand'  kwahiyo naomba  kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati  ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki  inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata  kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki  hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf.  mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana  kwa marafiki zao??

"safe distance" is what both are comfortable to live with .......................usisikilize ya wapita njia mara nyingi hufurahia mambo yakiwaendea mrama...........

Kwa yule ambaye anawahisi vibaya ni kwa sababu anajipima yeye mwenyewe jinsi alivyo na kufikiri watu wote ni kama yeye jambo ambalo siyo la lazima..........
 
Kuna watu wengine wanajua mno kuharibu mahusiano ya watu...

Utakuta labda unaongozana na mpenzi wako...

Mtu anakuja anawasilimia....halafu haondoki....
Na yeye analeta stori zake.......

Hahahahha.....hao ndo wale waweka giza!!Nyie mna maongezi yenu ye analeta story zake za kizushi!!Hapo inabidi muage nyie....
 
Mpendwa ingekua wote tunafikiria hivi matatizo kwenye mahusiano yangepungua kwa kiasi fulani......sema wanadamu sie wakati mwingine utadhani hatutumii ubongo kufikiri!!!

labda mie nina hofu pia, yaani niwe nae tu bila kukujulisha nadhani nitakata network hata tulichokutania na huyo mpenzi wako ntakisahau, ntakuwa na amani zaidi nikiwa najua unajau...mf ni kama cku moja frnd wangu alikuwa na ishu fulani na mr, na ni mtu anaemtegemea kumsaidia kutatua hiyo ishu, alinical kunieleza na kwa bahati nzuri mr alikuwa anaenda arusha/moshi kikazi, walikutana na walopokuwa wamekutana tu frnd wangu alisahnitumia sms nipo na shemeji hapa kindoroko ndio tunaanza maongezi, hapo mr yeye alikuja kuniambia maucku huko ameshalala kwamba nilikuwa na Lizzy kwenye ile ishu yake niliyoomba nimsaidie, nimemsaidia hivi na vile, unaona utofauti hapo Lizzy, mwanaume alichukulia ni maongezi na najua kutakuwa na maongezi hana haja ya kuniambia ndio naenda kuonana na fulani, but frnd aliona ni lazima kunijulisha kila point, tunaanza/tumemaliza/tumeshatawanyika....
 
mmmhh dearest nahisi sijaelewa safe distance ni nini....mimi nilivyosoma nilifikiri ni distance ambayo ni salama kwa marafiki/wenzi ndo nikasema kwa jinsi dunia ilivyo sasa,naweza kufikiria safe distance kutoka kwa wazazi,kaka na dada zangu,lakini marafiki mi naona its not that safe....nisaidie kukuelewa...!!!

Umeelewa dearest....mi ndo nlidhani pale mwanzo ulimaanisha kwamba safe distance wawekewe ndugu tu ila marafiki waachiwe uhuru wote watakao!!!
Kweli kwa mambo yanayoendelea siku hizi ni ngumu kuwaamini marafiki!!!
 
HTML:
mimi nataka nikirudi home nikute honey yupo peke yake
ananukia hivi,msaaafi....nguo nyepesi.....na juice baridi inanisubiri......
 
get it women....

unajua kuwa naye anapaswa kubadilishana mawazo na watu wengineo zaidi yako kama wewe ulivyofanya siku nzima ...............kule ulikokuwa................................she needs company though not necessarily companionship beyond her hubby...................
 
Kwanza nimejaribu kufikiria kati ya wanawake na wanaume ni wapi hua wanaongoza kwa kukaribisha/weka mazingira ya ukaribu kati ya wenzi wao na marafiki zao bila kupata jibu la moja kwa moja.Nadhani inatofautiana kati ya mtu na mtu maana binafsi sio mtambulishaji mzuri hata kidogo...achalia mbali kuweka/tengeneza mazingira ya ukaribu ila ni mtambulishwaji mzuri na baadhi ya nliotambulishwa kwao tumetokea kua marafiki wazuri sana hivyo tupo karibu!!Na kuna wanaume kutambulisha wapenzi wao mpaka kwa ugomvi!

To the point....mara nyingi wanawake (sio wote..baadhi) ndo hua tunasemwa tukiruhusiwa kua karibu na waume/wapenzi wa marafiki zetu maneno hua mengi mpaka kuwaharibia wenzetu ili tuchukue nafasi zao au kuona tu wakikosa.....sijui kama ndivyo ilivyo kwa wanaume pia!! Hii hua inaendana na ule msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe ambao nao una kaukweli ndani yake.

Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand' kwahiyo naomba kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf. mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana kwa marafiki zao??

Hapo kwenye red mkubwa, kama anao wengi atatambulisha wangapi? Ukiona rafiki, mpenzi, mchumba, mume hakutambulishi kwa watu tena akiwa na furaha jua huna binadamu hapo!!!! It is straight forward na kama ni rafiki, mpenzi au mchumba basi fikiria kwa undani mahusiano yenu, it means hakuthamini, he/she does not feel proud akiwa na wewe, you are nothing, pengine anakutumia tu kwa maslahi fulani, but you are no body. Feel proud to introduce!!!!

nilikuambia ukimaliza kula uende ukalale....umejifungia chumbani una chat JF?? nitavunja huo mlango sasa hivi....l.o.l....:bange:
Dah!! Wale marafiki zako ambao huwa wanakuja home
 
Kuna watu wengine wanajua mno kuharibu mahusiano ya watu...

Utakuta labda unaongozana na mpenzi wako...

Mtu anakuja anawasilimia....halafu haondoki....
Na yeye analeta stori zake.......

hahaah the Boss....na wwe hapo unahamu ya kuongea kimahaba na mpenzi wako....hahaha
 
nilikuambia ukimaliza kula uende ukalale....umejifungia chumbani una chat JF?? nitavunja huo mlango sasa hivi....l.o.l....:bange:

ha ha ha ha haaa addiction zingine we acha tu, habari yako binafsi niaje?
 
labda mie nina hofu pia, yaani niwe nae tu bila kukujulisha nadhani nitakata network hata tulichokutania na huyo mpenzi wako ntakisahau, ntakuwa na amani zaidi nikiwa najua unajau...mf ni kama cku moja frnd wangu alikuwa na ishu fulani na mr, na ni mtu anaemtegemea kumsaidia kutatua hiyo ishu, alinical kunieleza na kwa bahati nzuri mr alikuwa anaenda arusha/moshi kikazi, walikutana na walopokuwa wamekutana tu frnd wangu alisahnitumia sms nipo na shemeji hapa kindoroko ndio tunaanza maongezi, hapo mr yeye alikuja kuniambia maucku huko ameshalala kwamba nilikuwa na Lizzy kwenye ile ishu yake niliyoomba nimsaidie, nimemsaidia hivi na vile, unaona utofauti hapo Lizzy, mwanaume alichukulia ni maongezi na najua kutakuwa na maongezi hana haja ya kuniambia ndio naenda kuonana na fulani, but frnd aliona ni lazima kunijulisha kila point, tunaanza/tumemaliza/tumeshatawanyika....

Huo sasa ndio ustaarabu!!Hapo hata mtu akiwaona akakutonya hutoshangaa wala hutoshtuka.Ila kama wamejikutania tu huko wenyewe hata kama ni kwa bahati tu au wana maongezi ya kawaida tu lazima uhisi mengine!!!
Hehehe unadhani wategwaji hua wanajua wanategwa basi....wenyewe wanadhani namsikiliza/msaidia tu rafiki wa MRS hamna tatizo hapa.
 
Back
Top Bottom