Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Miongoni mwa wasanii wenye msongo mkubwa mno wa mawazo basi Richard Mavoko anaongoza.
Rich amekuwa mtu mwenye kusononeka kila kukicha na kujiona mkosaji mno ingawa akiwa katika macho ya mashabiki wake huwa anajikaza kiume ili aonekane yupo sawa tu.
Kitu kinachomtia mawazo na uchungu ni ule ugumu wa maisha ambao alikumbana nao miaka ya nyuma kabla ya kujiunga WCB.
Richi maskini ya Mungu kipindi anataabika hakuna mtu hata mtu mmoja aliyejali zaidi ya Diamond Platnumz mpaka akaamua kumshika mkono kumleta WCB na kiukweli ndani ya muda mfupi mafanikio yakaanza kupanda kwa kasi sana mpaka akasahau shida alizokuwa anapitia.
Mafanikio ya Richi yalianza kuwaumiza roho marafiki zake wanafiki na wakaanza kumjaza sumu Richi ili aone kwamba Diamond anamnyonya na adui mkubwa alikuwa Dokii ambaye alijipa udada wa hiyali ili azidi kumteka akili Richard.
Kingine ambacho alikuwa anakitegemea zaidi Richard ni Clouds Media haswa marehemu Ruge , sasa tangu Ruge afariki na Clouds kuanza kuyumba yumba Richi amezidi kudhoofika kutokana na mawazo anatamani sana arudi WCB akawaombe radhi ili wamrudishe kundini ila aibu inamsuta.
Kingine kinachomumiza show siku hizi hapati na akipata malipo ni kiduchu sana na show zenyewe za msimu.
Zaidi na zaidi kinachomuuma amerudi nyuma sana kimuziki kwa sababu kipindi yupo WCB alikuwa ameshaanza kupata channel za kupata collabo za kimataifa na jina lake lilikuwa limeshaanza kutajwa tajwa kimataifa .
Tamaa zimemponza Mavoko na hii iwe fundisho kwa wengine wote.