Marafiki wanafiki wamponza Rich Mavoko. Mwenyewe ajutia na kusaga meno

Marafiki wanafiki wamponza Rich Mavoko. Mwenyewe ajutia na kusaga meno

Mkuu unaposema wimbo pekee wa Mavoko uliotamba akiwa na Wcb ni Sheri unamaanisha nini au na wewe umetumia vigezo gani? Vipi kuhusu hizi ngoma nyingine inamaana zilibuma?

1.Rudi ft. Patoranking
2. Ibaki stori
3.Kokoro ft. Diamond


Sent using Jamii Forums mobile app

Humo ndani hakuna identity ya Mavoko, labda ibaki story nao haukufanya vizuri. Kokoro ulitamba lakini sio kwa sauti ya Mavoko, alibafilishwa kwahiyo ni kama hajafanya yeye, Rudi hata sikumbuki kama nilishawahi kuisikiliza, sina data zake kama ilifanya vizuri au lah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwaiyo unataka kutuaminisha msanii hatotoboa ki mziki mpaka awepo wcb?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Muziki umekuwa mgumu sana.

Kama msanii asipokuwa Clouds, WCB, EATV au EFM/TVE atapata tabu sana.

Maana hao ndio wamiliki wa media na waandaaji wa matamasha.
 
Acha kutujaza ujinga wako.undefined1.Mavoco kaanza kusikika kabla ya kujiunga wcb.undefined2.Clouds haijayumba.undefined3.muziki ni biashara,so kama biashara zingine kuna kupanda na kushuka.undefined4.UTAYUMBA WW CLOUDS NA WCB YENU LAKINI CLOUDS ITABAKI.
 
Humo ndani hakuna identity ya Mavoko, labda ibaki story nao haukufanya vizuri. Kokoro ulitamba lakini sio kwa sauti ya Mavoko, alibafilishwa kwahiyo ni kama hajafanya yeye, Rudi hata sikumbuki kama nilishawahi kuisikiliza, sina data zake kama ilifanya vizuri au lah


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sasa mkuu facts zenyewe huna halafu unataka kuargue!!!

Hapo ulipo unakiri kokoro ilitamba halafu tena unasema hakuna identity ya mavoko !!
 
Wengi watasema huu ni udaku but ndio ukweli, mziki wa sasa bila usimamizi mzuri ni mgumu aiseeh.

Niliwahi sema humu kama ni kosa alifanya baasi ni kuondoka WCB.
Jamaa kapoteza mvuto kabisa.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Kosa halikua kuondoka WCB ,Kosa lilikuwa kuondoka WCB bila ya ya kuwa ameshatengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi zake za Sanaa nje ya WCB, MTU km kifesi aliondoka WCB na still anafanya kazi zake vizuri, ...namfananisha mavoko na MTU ambaye alikua ameajiriwa akasikia kuwa kujiajiri kunilipa zaidi ..akaacha kazi ghafla bila ya kuwa na mazingira mazuri ya kujiajiri..,

From profile picture to proper future
 
Humo ndani hakuna identity ya Mavoko, labda ibaki story nao haukufanya vizuri. Kokoro ulitamba lakini sio kwa sauti ya Mavoko, alibafilishwa kwahiyo ni kama hajafanya yeye, Rudi hata sikumbuki kama nilishawahi kuisikiliza, sina data zake kama ilifanya vizuri au lah


Sent from my iPhone using JamiiForums
Rudi wimbo mkali Sana , sema umetumia sample kwenye instruments
 
In short katika jambo ambalo huyu jamaa amebugi ni kuondoka WCB family and Label hiyo.Lakini simshangahi!Kwa maana aliingizwa kwenye ugomvi wa Clouds Media Group na Diamond Platnumz bila yeye kutafakari kwa kina.Alitegemea big promotion kutoka kwenye media hiyo yenye ushawishi mkubwa Tanzania na pia hile redio ya Efm ambapo anayesemekana kuwa Dada yake anafanyia kazi,the problem dada yake ana ushawishi wowote wa maana pale Efm kusukuma nyimbo zake zipate Airtime kubwa.Cha kushangaza tangu uamuzi huo kazi zake zimezorota sana.Ubora wa kazi zake nje ya WCB unatia mashaka sana.

Huu ni mfululizo wa vinyongo na rafu ambazo Ruge alizianzisha katika tasnia hii,hili kuwafitinisha wasanii.You can't believe wamemchochea Aslay,who used to be the humble guy,kuwa na chuki iliyopitiliza juu ya mafanikio ya Mbosso Khan ambaye wametoka naye mbali.The same ilitokea kwa marehemu Zizi na Bilnass.Sitashangaa kumuona huyu jamaa anapata sonono[Depression]kutokana na maamuzi aliyoyafanya.Maamuzi mabovu sana.
 
Rich kuondoka WCB alikuwa amefanya uamuzi wa busara sana baada ya kuona mkataba hauna mashiko, huwezi sikika na kupata umaarufu huku kipato hupati kutwa kuwatengenezea kula watu wengine pale hapo harmonize anajina nje na ndani ya tz lakin mafanikio yake huwezi mlinganisha na Nay wa Mitego, Rich hakutaka usuper star kwa maana anao hakutaka kupewa gari kama wenzie wakina Rayvanny kwa maana gari alikua nalo kama unapata show kuna manager kama watano unatakiwa wapate bado nyingine iingie kwenye kampuni ambayo hautakaa upewe profit haya mambo usipokuwa na akili kichwani utakuwa unashabikia tu bila kujua mbeleni itakuaje harmonize ameenda kijijinj kwao nilitegemea kuona bonge la Mansion lakin mwenzake diamond ananyumba za kutosha hadi maza ake kamjengea na mtoa mada anajiona yupo rights, ndio maana Aslay aliamua kuachana nao usipokua vizuri upstairs utashabikia umaarufu huku wanaochukua mkwanja ni kina sallam, babutale, diamond na said fella.
Vijana tutafute pesa umaarufu utatufuata.
 
Back
Top Bottom