Munamuge
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 810
- 795
Mkuu unaposema wimbo pekee wa Mavoko uliotamba akiwa na Wcb ni Sheri unamaanisha nini au na wewe umetumia vigezo gani? Vipi kuhusu hizi ngoma nyingine inamaana zilibuma?
1.Rudi ft. Patoranking
2. Ibaki stori
3.Kokoro ft. Diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Humo ndani hakuna identity ya Mavoko, labda ibaki story nao haukufanya vizuri. Kokoro ulitamba lakini sio kwa sauti ya Mavoko, alibafilishwa kwahiyo ni kama hajafanya yeye, Rudi hata sikumbuki kama nilishawahi kuisikiliza, sina data zake kama ilifanya vizuri au lah
Sent from my iPhone using JamiiForums