Marafiki wanafiki wamponza Rich Mavoko. Mwenyewe ajutia na kusaga meno

Ngoma ina miezi 3 lakini hata views 500K haijafikisha halafu unasema inaenda vizuri?! Najua watu wa aina yako utasema views za Youtube sio kigezo!
Youtube sio kipimo cha kusema msanii anafanya vizuri sisi tunaangalia kwenye rotation ya radio viewer nyingi za kuboost na kununua
 
WCB Ni Freemasons hub, Rich Mavoko aliona mbali kutoa kafara ndugu zake wa damu isiwe tabu bora awe wa kawaida kuliko kung'aa alafu tunakuzika mara moja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kauli yako hiyo unaonesha wazi huna ufahamu wa kutosha kuhusu Youtube na umuhimu wa digital world kwenye sanaa!! Yaani serious unasema "views za kununua?"
Tatizo mapato ya youtube hayatabiriki sababu Google hawalipi kwa viewer ilo unalifahamu tofauti na show we ndo unapanga unapiga show kwa bei gani YouTube ni kama sehemu msanii anaweza kuitumia kujenga brand lakini hailipi kiivyo
 
Huyu Ruge sijui alikuwa ni mtu wa aina gani..

Kuna mtu anaweza kuchapiwa hata mkewe akatoka na kusema Ruge ndo kasababisha
 
Tatizo mapato ya youtube hayatabiriki sababu Google hawalipi kwa viewer ilo unalifahamu tofauti na show we ndo unapanga unapiga show kwa bei gani YouTube ni kama sehemu msanii anaweza kuitumia kujenga brand lakini hailipi kiivyo
Mbona unachanganya habari?! Wapi nimesema Google wanalipa kutokana na views?!

Nimezungumzia suala la ngoma kufanya vizuri Youtube na kuhoji kauli yako ya "views wa kununua" kwa sababu kama kweli unaifahamu vizuri Youtube na jinsi inavyofanya kazi, pia ungefahamu kwamba issues za kununua views Youtube ni utapeli mtupu!

That's one but two, vile vile huwezi kupuuza suala la views na mapato kupitia Youtube! Ingawaje mapato hayatokani na views lakini mtu mwenye views wengi, especially kutoka mataifa tofauti, ana uwezekano mkubwa wa kuvuna pesa ya kutosha kuliko mwenye views wachache.

Btw, baada ya ku-trend huko kwenye maredio kama unavyodai, ni zipi hizo shows za Mavoko zinazotokana na ku-trend?! Hakuna shaka hata kidogo kwamba Mavoko ni mwanamuziki mzuri kuliko Harmonise! But tell me ukweli wa moyo wako... leo hii ukiambiwa upewe Mavoko au Harmonize akakupigie charity show ya kukusanya pesa kwa lengo fulani, unataka kuniambia utamchukua Mavoko?!
 
Ngoma ina miezi 3 lakini hata views 500K haijafikisha halafu unasema inaenda vizuri?! Najua watu wa aina yako utasema views za Youtube sio kigezo!
Nashukuru umenijibia
 
Mtoa mada inaonekana huna taarifa sahihi kuhusu Rich, taarifa nyng ulizozitoa si za kwel ikiwamo "dokii kuwa dada wa hiari wa rich"
 
Kwa iyo ruge kamuingiza chaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi watasema huu ni udaku but ndio ukweli, mziki wa sasa bila usimamizi mzuri ni mgumu aiseeh.

Niliwahi sema humu kama ni kosa alifanya baasi ni kuondoka WCB.
Jamaa kapoteza mvuto kabisa.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…