Ha ha ha hakama angejijua hana uwezo angetulia wcb ili aendelee kubebwa kama lavalava,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa chigeeee[emoji119][emoji119]Mbona unachanganya habari?! Wapi nimesema Google wanalipa kutokana na views?!
Nimezungumzia suala la ngoma kufanya vizuri Youtube na kuhoji kauli yako ya "views wa kununua" kwa sababu kama kweli unaifahamu vizuri Youtube na jinsi inavyofanya kazi, pia ungefahamu kwamba issues za kununua views Youtube ni utapeli mtupu!
That's one but two, vile vile huwezi kupuuza suala la views na mapato kupitia Youtube! Ingawaje mapato hayatokani na views lakini mtu mwenye views wengi, especially kutoka mataifa tofauti, ana uwezekano mkubwa wa kuvuna pesa ya kutosha kuliko mwenye views wachache.
Btw, baada ya ku-trend huko kwenye maredio kama unavyodai, ni zipi hizo shows za Mavoko zinazotokana na ku-trend?! Hakuna shaka hata kidogo kwamba Mavoko ni mwanamuziki mzuri kuliko Harmonise! But tell me ukweli wa moyo wako... leo hii ukiambiwa upewe Mavoko au Harmonize akakupigie charity show ya kukusanya pesa kwa lengo fulani, unataka kuniambia utamchukua Mavoko?!
Hahaa daah !!!!Mavoko bado mchanga kimuziki ,alibabaika na comment kama yako akajiona anajua sana.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Mimi sijui kuimba tu ila ni handsome kuliko mavoko, vipi nikutolee mahari babyMavoko oyeeeeee
Handsome man
Bora alipo sasa kuliko alipokuwa kabla.. yupo huruuuuuu
Mkuu unaposema wimbo pekee wa Mavoko uliotamba akiwa na Wcb ni Sheri unamaanisha nini au na wewe umetumia vigezo gani? Vipi kuhusu hizi ngoma nyingine inamaana zilibuma?Mambo machache ya kishabiki kwenye post yako
1. Alikua na ugumu wa maisha kabla ya kujiunga WCB, kauli kama hii inatakiwa kuja na uthibitisho wa kitu gani alifanya akiwa WCB kuonesha kweli maisha yalimwendea vizuri ambacho hakuweza kukifanya huko nyuma. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ni kwamba usanii ulimlipa kitambo hadi akaamua kuacha kazi yake ya ualimu na kujiajiri rasmi kwenye muziki.
2. Unadai Diamond aliyaona mataabiko ya Rich na kumchukua WCB, lakini ninavyofahamu mimi Rich kahamia WCB akiwa na nyimbo zinazotamba na alikua na heshima ya kutosha, labda kama kulikua na mataabiko mengine nyuma ya pazia ambayo sisi tunaowaona kwenye TV wamependeza hatuyajui.
3. Unadai akiwa ndani ya WCB mafanikio yakapanda, hapa narudia nililosema kwenye point ya kwanza kwamba utuletee uthibitisho, maana kwa maoni yangu Rich alishuka kimuziki alipoingia WCB, wimbo pekee uliotamba ni Sheri aliyofanya na Fid Q.
4. Umesema kitu alichokua anakitegemea ni clouds na Ruge (hili linaweza kuwa kweli), lakini point hii inakosa mashiko unaposema clouds imeanza kuyumba baada ya kifo cha Ruge, ni kipimo gani unachotumia kupima kuyumba kwa taasisi wiki mbili baada ya kifo cha kiongozi aliekua hospitali kwa zaidi ya miezi sita? Clouds inaweza kuyumba kutokana na kutokuwepo Ruge, lakini sio leo, ni hadi pale itakapofikia hatua ya kuhitaji mawazo mapya.
5. Hapati show, na akipata malipo ni kiduchu! Huko WCB alipata show ngapi za maana unazozitambua? Na mikataba yake ya siku hizi umeiona au umehisi tu?
6. Amerudi nyuma kimuziki! Hili ni kweli kabisa, lakini alianza kurudi nyuma tangu alipojiunga WCB.
Ni kweli kabisa tamaa zilimponza, tamaa za kutaka kung’aa kama wasanii wa WCB, kumbe wenzake hawakua na nia njema ya kumg’arisha
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Mimi sijui kuimba tu ila ni handsome kuliko mavoko, vipi nikutolee mahari baby
Super hero daddy
Milioni 100 duh nanunua kiwanda au namtolea mahari mke mtarajiwa,Duh
Ngoja nimuambie kwanza mjomba angu wa humu Mshana Jr apokeee hizo milioni 100 unazotaka kuzitoa.
Milioni 100 duh nanunua kiwanda au namtolea mahari mke mtarajiwa,
Happiness is a lifestyle
Basi sawa... Haya mlete mjomba wako....Unawekeza ili uishi kwa furaha baadae.. hata ukijenga kiwanda mke mtarajiwa atakisimamia na kitazaa matunda mengi chini yake.
Tumekusikia mchepuko wa diamondMiongoni mwa wasanii wenye msongo mkubwa mno wa mawazo basi Richard Mavoko anaongoza.
Rich amekuwa mtu mwenye kusononeka kila kukicha na kujiona mkosaji mno ingawa akiwa katika macho ya mashabiki wake huwa anajikaza kiume ili aonekane yupo sawa tu.
Kitu kinachomtia mawazo na uchungu ni ule ugumu wa maisha ambao alikumbana nao miaka ya nyuma kabla ya kujiunga WCB.
Richi maskini ya Mungu kipindi anataabika hakuna mtu hata mtu mmoja aliyejali zaidi ya Diamond Platnumz mpaka akaamua kumshika mkono kumleta WCB na kiukweli ndani ya muda mfupi mafanikio yakaanza kupanda kwa kasi sana mpaka akasahau shida alizokuwa anapitia.
Mafanikio ya Richi yalianza kuwaumiza roho marafiki zake wanafiki na wakaanza kumjaza sumu Richi ili aone kwamba Diamond anamnyonya na adui mkubwa alikuwa Dokii ambaye alijipa udada wa hiyali ili azidi kumteka akili Richard.
Kingine ambacho alikuwa anakitegemea zaidi Richard ni Clouds Media haswa marehemu Ruge , sasa tangu Ruge afariki na Clouds kuanza kuyumba yumba Richi amezidi kudhoofika kutokana na mawazo anatamani sana arudi WCB akawaombe radhi ili wamrudishe kundini ila aibu inamsuta.
Kingine kinachomumiza show siku hizi hapati na akipata malipo ni kiduchu sana na show zenyewe za msimu.
Zaidi na zaidi kinachomuuma amerudi nyuma sana kimuziki kwa sababu kipindi yupo WCB alikuwa ameshaanza kupata channel za kupata collabo za kimataifa na jina lake lilikuwa limeshaanza kutajwa tajwa kimataifa .
Tamaa zimemponza Mavoko na hii iwe fundisho kwa wengine wote.View attachment 1045845