[emoji16][emoji16] inawezekana hawakuhoji kwa sababu walijua inajulikana kuwa inatakiwa kuwa hivyo. Kama ni hivyo aisee walikuwa wazembe sanaHata mimi nilidhani hivyo, ila kipindi chote cha maandalizi ya ndoa hatukuwahi kuambiwa na wala siku walipoenda kanisani kujitambulisha kama wasimamizi wetu hakuna aliyewauliza kama wameoana au la. So tukaendelea.
Urafiki huwa ni utotoni; huku ukubwani hakunaga cha urafikiKuna mtu ambae hana kabisa mawazo? Sema tu umejikuta uko kwenye level tofauti na wao basi tukuelewe [emoji16]
Shauri yao sasa 😀[emoji16][emoji16] inawezekana hawakuhoji kwa sababu walijua inajulikana kuwa inatakiwa kuwa hivyo. Kama ni hivyo aisee walikuwa wazembe sana
Naunga mkono hoja, sema kuna wengine ujue wanajifuta mwenyewe kutokana na tabia au hulka zikianza kutofautianaHabari za wakati huu,
Rejea swali hilo hapo juu...katika maisha ya ukuaji, masomo, utafutaji huwa tunajikuta tunakutana na watu wengi... wengine wanabaki kuwa tu watu tunaofahamiana nao na wengine wanakuwa marafiki tena wengine huwa tunashibana kiasi cha kuwa kama ndugu.
Nakumbuka shule ya msingi nilikuwa na rafiki yangu mmoja anaitwa A ..ni hulka yangu kuwa na rafiki mmoja tu wakizidi sana wawili. Of course wanaweza kuwa wapo na wengine ila wa karibu huwa ni mmoja.
Huyu tumekua wote hadi chuo lakini baada ya hapo kila mtu alipoingia kwenye kutafuta maisha tukajikuta tunakuwa mbali, mawasiliano yakapungua kama sio kukatika kabisa.
Kila mtu ana namba ya mwenzie ila tuna miaka zaidi ya mitatu hatujawasiliana, hata tukipigiana simu hatuna stori.
Huo ni mfano mmoja tu ila wapo niliokutana baada ya hapo , tulikuwa karibu sana ila sasa hivi tumekuwa total strangers.
Nilichogundua ili watu muwe na muendelee kuwamarafiki lazima kuna vitu muwe mnafanana, mazingira yaliyowakutanisha yakibadilika tu kila kitu kinabadilika.
Mfano mlikutana mkiwa single mmoja akiwa na familia urafiki kwa vyovyote utakufa tu.
Mlikutana hohehahe mmoja akifanikiwa urafiki utakufa au unabadilika kutoka urafiki hadi uchawa...labda yule aliyefanikiwa awe na moyo wa kumuinua mwenzake.
Mkikutana hamna ajira mmoja akipata kazi anakutana na marafiki wapya.
Au nyie wakuu mnaonaje? Niwatakie jioni njema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hela yangu mwenyewe hadi nibanwe eboo. Dawa akikujibu hivyo unamwambia nimebanwa sasa hivi nipeNaunga mkono hoja, sema kuna wengine ujue wanajifuta mwenyewe kutokana na tabia au hulka zikianza kutofautiana
Jamaa mmoja tumekutana form1 tena nilikutana naye mimi nilikuwa rafiki wa kaka yake , sema kaka yake akawa na tabia tofauti na zetu
Huyu jamaa tulikuwa vizuri tunawasiliana na mpaka sasa shida ameanzisha tabia siipendi ukimkopesha akipata harudushi anamwambia ukibanwa niambie nikupe Yani as if anakuhifadhia .
Shida sana hapo tayari ujue mshaanza kupishana siku ingine utaogopa kumkopesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hela yangu mwenyewe hadi nibanwe eboo. Dawa akikujibu hivyo unamwambia nimebanwa sasa hivi nipe
Mimi kazini ndio sijawahi kuwa na rafiki sijui ni nature ya kazi nilizofanyaSina marafiki aisee labda wale wa utotoni sana na venye hatuwasiliani wadada washaolewa masela bado bado!
Primary nlikuw na marafiki baadae gafla nkahamishwa hamishwa sana zaidi ya shule nne, secondary nlianza uboyzn kidogo tu nkahamishwa kabla hatujazoeana sana
Advance at least nlikuwa na marafiki maana yalikua mazingira ya uboyzni ila nlikuwa nawakwepa maana vibomu vingi! Hawanunui vtu plus kukopa kopa pocket money
Chuo nlipata rafiki yule jamaa fala sana yaan alikua kimkakati sana alitumia sana vihela vyangu ila sikuwaza sana saiv tumeishia kuview tu status tu
Mtaani kwenye pool table labda na kazini kidogo
Ni kwamba hamna ambae nimeshare nae common background
Pesa zipogo tu mm kuna rafiki yangu kwetu pesa sio issue anipe anidhurumu nimdhurumu akuna kumakasirikianaNaunga mkono hoja, sema kuna wengine ujue wanajifuta mwenyewe kutokana na tabia au hulka zikianza kutofautiana
Jamaa mmoja tumekutana form1 tena nilikutana naye mimi nilikuwa rafiki wa kaka yake , sema kaka yake akawa na tabia tofauti na zetu
Huyu jamaa tulikuwa vizuri tunawasiliana na mpaka sasa shida ameanzisha tabia siipendi ukimkopesha akipata harudushi anamwambia ukibanwa niambie nikupe Yani as if anakuhifadhia .
Mimi tulitoka naye hiyo level tukaenda wote Chuo, sasa tupo wote kitaa bado tumshibabana ingawa utafutaji unaweka gapMwanangu wa damu kabisa tulibukua pamoja A level.
ebu picha tuone[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi wa A level tunaishia kuchunguliana tu status
M1 wa Matarawee, mwingne wa Peramihoo.Hongera inaonekana mnapendana haswa sio kwa mabusu hayo. Ni wa wapi? Mfaranyaki au Lizaboni? [emoji1787]