Marafiki wangapi uliokuwa nao wakati unasoma bado unao?

Marafiki wangapi uliokuwa nao wakati unasoma bado unao?

Hata mimi nilidhani hivyo, ila kipindi chote cha maandalizi ya ndoa hatukuwahi kuambiwa na wala siku walipoenda kanisani kujitambulisha kama wasimamizi wetu hakuna aliyewauliza kama wameoana au la. So tukaendelea.
[emoji16][emoji16] inawezekana hawakuhoji kwa sababu walijua inajulikana kuwa inatakiwa kuwa hivyo. Kama ni hivyo aisee walikuwa wazembe sana
 
Nnao wawili wote wa primary, tuko bestitooo had keshoooo. [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Hongera inaonekana mnapendana haswa sio kwa mabusu hayo. Ni wa wapi? Mfaranyaki au Lizaboni? [emoji1787]
 
Sina marafiki aisee labda wale wa utotoni sana na venye hatuwasiliani wadada washaolewa masela bado bado!

Primary nlikuw na marafiki baadae gafla nkahamishwa hamishwa sana zaidi ya shule nne, secondary nlianza uboyzn kidogo tu nkahamishwa kabla hatujazoeana sana

Advance at least nlikuwa na marafiki maana yalikua mazingira ya uboyzni ila nlikuwa nawakwepa maana vibomu vingi! Hawanunui vtu plus kukopa kopa pocket money

Chuo nlipata rafiki yule jamaa fala sana yaan alikua kimkakati sana alitumia sana vihela vyangu ila sikuwaza sana saiv tumeishia kuview tu status tu

Mtaani kwenye pool table labda na kazini kidogo

Ni kwamba hamna ambae nimeshare nae common background
 
Habari za wakati huu,

Rejea swali hilo hapo juu...katika maisha ya ukuaji, masomo, utafutaji huwa tunajikuta tunakutana na watu wengi... wengine wanabaki kuwa tu watu tunaofahamiana nao na wengine wanakuwa marafiki tena wengine huwa tunashibana kiasi cha kuwa kama ndugu.

Nakumbuka shule ya msingi nilikuwa na rafiki yangu mmoja anaitwa A ..ni hulka yangu kuwa na rafiki mmoja tu wakizidi sana wawili. Of course wanaweza kuwa wapo na wengine ila wa karibu huwa ni mmoja.

Huyu tumekua wote hadi chuo lakini baada ya hapo kila mtu alipoingia kwenye kutafuta maisha tukajikuta tunakuwa mbali, mawasiliano yakapungua kama sio kukatika kabisa.

Kila mtu ana namba ya mwenzie ila tuna miaka zaidi ya mitatu hatujawasiliana, hata tukipigiana simu hatuna stori.

Huo ni mfano mmoja tu ila wapo niliokutana baada ya hapo , tulikuwa karibu sana ila sasa hivi tumekuwa total strangers.

Nilichogundua ili watu muwe na muendelee kuwamarafiki lazima kuna vitu muwe mnafanana, mazingira yaliyowakutanisha yakibadilika tu kila kitu kinabadilika.

Mfano mlikutana mkiwa single mmoja akiwa na familia urafiki kwa vyovyote utakufa tu.

Mlikutana hohehahe mmoja akifanikiwa urafiki utakufa au unabadilika kutoka urafiki hadi uchawa...labda yule aliyefanikiwa awe na moyo wa kumuinua mwenzake.

Mkikutana hamna ajira mmoja akipata kazi anakutana na marafiki wapya.

Au nyie wakuu mnaonaje? Niwatakie jioni njema
Naunga mkono hoja, sema kuna wengine ujue wanajifuta mwenyewe kutokana na tabia au hulka zikianza kutofautiana

Jamaa mmoja tumekutana form1 tena nilikutana naye mimi nilikuwa rafiki wa kaka yake , sema kaka yake akawa na tabia tofauti na zetu

Huyu jamaa tulikuwa vizuri tunawasiliana na mpaka sasa shida ameanzisha tabia siipendi ukimkopesha akipata harudushi anamwambia ukibanwa niambie nikupe Yani as if anakuhifadhia .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hela yangu mwenyewe hadi nibanwe eboo. Dawa akikujibu hivyo unamwambia nimebanwa sasa hivi nipe
 
Sina marafiki aisee labda wale wa utotoni sana na venye hatuwasiliani wadada washaolewa masela bado bado!

Primary nlikuw na marafiki baadae gafla nkahamishwa hamishwa sana zaidi ya shule nne, secondary nlianza uboyzn kidogo tu nkahamishwa kabla hatujazoeana sana

Advance at least nlikuwa na marafiki maana yalikua mazingira ya uboyzni ila nlikuwa nawakwepa maana vibomu vingi! Hawanunui vtu plus kukopa kopa pocket money

Chuo nlipata rafiki yule jamaa fala sana yaan alikua kimkakati sana alitumia sana vihela vyangu ila sikuwaza sana saiv tumeishia kuview tu status tu

Mtaani kwenye pool table labda na kazini kidogo

Ni kwamba hamna ambae nimeshare nae common background
Mimi kazini ndio sijawahi kuwa na rafiki sijui ni nature ya kazi nilizofanya
 
Naunga mkono hoja, sema kuna wengine ujue wanajifuta mwenyewe kutokana na tabia au hulka zikianza kutofautiana

Jamaa mmoja tumekutana form1 tena nilikutana naye mimi nilikuwa rafiki wa kaka yake , sema kaka yake akawa na tabia tofauti na zetu

Huyu jamaa tulikuwa vizuri tunawasiliana na mpaka sasa shida ameanzisha tabia siipendi ukimkopesha akipata harudushi anamwambia ukibanwa niambie nikupe Yani as if anakuhifadhia .
Pesa zipogo tu mm kuna rafiki yangu kwetu pesa sio issue anipe anidhurumu nimdhurumu akuna kumakasirikiana
 
Sinaga yule wa kushibana sana,kwasababu napenda kuwa msiri sana,kwahiyo sipendi mtu anijue hadi taarifa zangu ambazo natakiwa kuulizwa mimi ndiyo nitoe,yeye awe nazo.Nakaa kimachalechale.Hata mtu niliyenaye kwenye mahusiano,sipendi anijue vizuri,kwasababu naamini atawahadithia watu wengine.Kuwa kivyangu nainjoi,since my childhood.
 
Hongera inaonekana mnapendana haswa sio kwa mabusu hayo. Ni wa wapi? Mfaranyaki au Lizaboni? [emoji1787]
M1 wa Matarawee, mwingne wa Peramihoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumekutana wote vivuruge.
 
Back
Top Bottom