Marafiki,wapwa na mabinamu kuelekea dodoma!..........

naona baba g anaelekea kwenye kuwa :llama::llama:......Dawa yao hawa ni kuwa:deadhorse: then hii :mod: ikija, tuna😛lane: haooooo Dom na anonymous na mama kubwa. wao wanapelekwa MOI.

Mbona mnajihami mapema sana mliambiwa mapema
 



Don't trust a species that's always smiling, its up to something!
 
hahahaaa! mkubwa, kaenda kula ubwabwa na nyama ya ng'ombe.
amezoea gest huyo roya.....!
anachokiamini yeye mtu AKIWA MOTEL basi yupo migahawani/kwa mama lishe
 
Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

Vipi kamati ya maandalizi............? na ugeni ndo huuuuuuuuuuu?

Karibuni sana wapwaz na binamz!
 
Sioni wasafiri humu... naona wawindaji na wawindwaji
 
Askofu atahitajika kwenye safari kwa ajili ya kutufanyia maombi sijuiatakuja na Sista Gabriella

Mjulishe Piijei, ZD na 1st Ladi1 wawepo tafadhali, maana mnahitaji maombi ya nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…