Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe kazi yako kuulizia wake za watu tu, ngoja niende PM na matesha akushughulikie!Na hapa leo mwajadili nini?
Wapi Mama Big?
Inamaana Panga la Roya limebaki mpini tu?nipo nae bondeni hotek TUMEPUMZIKAA...!tunasubiri foleni iishe
Hili sredi mmelikimbiza na kulichakachua kiasi kwamba, babu hajui mnadiskasi kitu gani hapa.
Kaizer hebu nifafanulie kwa hatua tafadhali.
Wenye matatizo ya viuno, mmeweka angalizo?
Hili sredi mmelikimbiza na kulichakachua kiasi kwamba, babu hajui mnadiskasi kitu gani hapa.
Kaizer hebu nifafanulie kwa hatua tafadhali.
Wenye matatizo ya viuno, mmeweka angalizo?
Askofu atahitajika kwenye safari kwa ajili ya kutufanyia maombi sijuiatakuja na Sista Gabriella
hao nimesikia watapanda power tiller ya GY kwa ajili ya physiotherapy.....ili mradi mkifika mnaweza kushiriki kuapishwa kwa wah. wabunge wateule wapambanaji hasa Mh Regia....
wewe kazi yako kuulizia wake za watu tu, ngoja niende PM na matesha akushughulikie!
Hakuna kukanyaga Dom
Ile Pijo 404 itamwenea Regia Mtema?
Sent from Bar mpya via my mobile
Complaints to follow!
Inamaana Panga la Roya limebaki mpini tu?
Na hujasikia makanyo ya Carmel kuhusu Bondeni hotel? kumbuka Boflo anakaa maeneo hayo hayo!
Halafu wewe una kesi ya kujibu....
Ulimkimbia Mama Big pale Kalabashi... Kisingizio.eti Temeke kuna vululu vululu za kisiasa.
Naomba kuuliza swali: Hili tripu la kwenda kumsimika Chenge kuwa spika wa bunge la JMT, tunaruhusiwa kuambatana na familia? Yaani watoto na wajukuu zetu? Pale UDOM kuna nafasi ya kututosha?

1)-roya hana panga kwa sasa!....Inamaana Panga la Roya limebaki mpini tu?