The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
mbona unakuwa na wasi wasi ndugu? Nature is always very kind and generous, it will sort things out for you... as long as multiple choice and ownership/pocession is not allowed!
Mbona unakuwa na wasi wasi ndugu? Nature is always very kind and generous, it will sort things out for you... As long as multiple choice and ownership/pocession is not allowed!
copy that!....Dogo Baba G,
Ni wazo zuri sana ila kama unavyojua itabidi nitafute mwakilishi....Nitakupa jina kabla jogoo (naaminisha kuku, msijeniuliza maswali) hajawika!
Ila Baby yenu anawaombea kwa Mwenyezi Mungu awatangulie nyote mtakaoenda kimwili na sisi tutakuwa nanyi kiroho...
Ret Maj Gen DC (1947).
Hata wasiwasi pia ni nature tu
hahahaha nimecheka!
next week hun wala usikonde
Cant wait
Baba Gift afta kushuhudia laiv without chenga kuapishwa kwa wabunge wetu wapendwa, hiyo pati ya kukata na shoka itafanyikia wapi???
Ni mambo ya kujiweka sawa nothing personal.:smile::smile:
Orait DC heshima kwako kumbe hii safari hii imekaa KIMWILI zaidi na sio KIROHO kama unavyosema
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Wadau kama?
nitakuwa dereva wa taxi....!
i mean nitapaa na charter kumuacha anonymous again nitarud nayo na kuchukua taxi.....!abiria wangu nitawapakia nikianzia kino
taxiiiiii Taxiiiiii! how much will you charge from here to dodoma?
Duh... hii mada ina-fly aisee... yani kwenda maliwato imesharefuka hivi?
Haya hivi mme-conclusion vipi kuhusu logistics? au bado ni kwa PM pekee?
Uh ndo kiumbe gani huyo???Nina Jannell hapa.....nikupatie?
kama kawaidaaz....
club 84
mnaokula monde poleni zenu maana nahisi ule mtindo wa kulewa kabla ya kukolea utawakumba. nashukuru Mungu kuwa ukiondoa mchina dosage hakuna dem aliyechakachuliwakama kawaidaaz....
club 84
pale jirani kuna gest pale inaitwa islands...!Orait...Orait naanza kucheki na Mtalemwa Manager wa hiyo club ili kuhakikisha kuwa Mheshimiwa Sugu atapanda kwa stage that day!
pale jirani kuna gest pale inaitwa islands...!
mwambie mutalemwa aende pale atakutana na zainab afanye booking
pale jirani kuna gest pale inaitwa islands...!
mwambie mutalemwa aende pale atakutana na zainab afanye booking