watu wa humu ndani mmepinda bila shaka.yeye tunamkodishia charter!
sijawahi...!
ila nacikia kuna dabo rodi kuanzia dumila/magole?
we umewahi kufika kino?
Orait...Orait naanza kucheki na Mtalemwa Manager wa hiyo club ili kuhakikisha kuwa Mheshimiwa Sugu atapanda kwa stage that day!
watu wa humu ndani mmepinda bila shaka.
Haya na WoS atakuwepo?? just ashawishiwe kuwepo kwenye safari maana story zake zitanisaidia kusinzia while driving (kupunguza uchovu wa safari)
Binamu du ze nidful, tupate burudani za mwisho mwisho, kwenye mpangilio wa nyimbo atakazopafomu ANTI VIRUS isikosekane.
No driving, ni riding......matumizi ya tukutuku kwa ajili ya kuwaenzi waliovunjika miguu kwa Toyo aka bodabodawatu wa humu ndani mmepinda bila shaka.
Haya na WoS atakuwepo?? just ashawishiwe kuwepo kwenye safari maana story zake zitanisaidia kusinzia while driving (kupunguza uchovu wa safari)
Beauty yuko wapi jamani au anatumia id nyingine na kupost via mobile?
Very much binamu
Don't count your chickens before they're hatched.Cant wait
Baba Gift afta kushuhudia laiv without chenga kuapishwa kwa wabunge wetu wapendwa, hiyo pati ya kukata na shoka itafanyikia wapi???
Ni mambo ya kujiweka sawa nothing personal.:smile::smile:
copied, but booking ya namna gani? Unatoka dodoma unaenda dodoma au? Date of arrival: Leo, date of departure: Leo...au?
and the course is not smelling good from the start.okei okei.....ingawa kuna watu wanatembea na RB wakiusikia tu unapigwa mahali wanakubeba but we will do the nidful....vp wewe ulisema utapanda pawa tila au ndo unakuja na bajaji ya Baba G?.....Nature is now taking its course
Don't count your chickens before they're hatched.
.....hivi chickens hatch chickens au eggs hatch chicks?
Isengwile Lily!
Na hapa leo mwajadili nini?
Wapi Mama Big?