Marafiki wasanii ni wanafiki sana na ni wa binafsi

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi

Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii wanajionaga spesho sana

Kwa kifupi wanavimba sana
 
Bila kumtaja ni majungu kama majungu mengine tu
 
Tatizo nyie ndio munajipendekeza kwao,, kwanini Upost kazi za mtu mwingine free wakati wewe ukimbwambia akusaidie tu kupost kabiashara kako kauuza K VANT hapo mtaan anataka umlipe ghali...... nawewe akikutumia link mwmabie alipie tangazo umweke status
 
Mimi huwa nakausha kimya nikijiskia napost nisipojiskia navunga
 
KweLi kuna mmoja nnae anakutumia link umpost ukimtumia sms hakujibu no yake nliifute afu mtu mwenyewe hajatoka afu anaringa shenz zaKe
 
Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi

Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii wanajionaga spesho sana

Kwa kifupi wanavimba sana

Man nakubaliana na ww hili lipo wazi,ilikua 2004 mtoni mtongani naish nyumbani kwa akina msami (mabawa).
 
Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi

Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii wanajionaga spesho sana

Kwa kifupi wanavimba sana
Ni kweli ndo maana hawaipendi social media ambazo watu hawawashobokei kama twitter ila sehemu ambazo ushobokewa ni fb na insta wanapenda kuwa uko kwa sababu uwashobokea na hawawajibu chochote kwenye comment na wakiwajibu ujue kuna fan kamuudhi , ila hawajui faida ya kujenga engagement na fans, insta mtu akijibiwa comment au msanii akimfollow fan ni ufahari kwa fan na matangazo wakati twitter ni kawaida maana Twitter ukiwa msanii halafu unaringa utaishia kujiongelesha hakuna mtu anayejihusisha na wewe, twitter ma supestars ni watu wa kawaida , hawajifunzi kama ma billionaires kama wakina elon musk wanachat na followers wake na ana engage now muda wote akiwa na target kwamba akitoa bidhaa zake huakika kuuza.
 
Ulimbukeni unawasumbua
 
Back
Top Bottom