fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu.
Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka wengine wakiona labda ameniloga mke wangu mpenzi😚 kumbe wala hata niko saafi akili zangu azija wekwa kwenye kichupa,,maana i feel pia nimebadilika hizi labda ndo sababu,,kwa wale mnao wafikiria vibaya rafiki zenu mlio toka nao mbali kua wanawachunia
Laah!hashaa
Kuna malengo kama familia tumeweka tanakomaa yatimie, si mnajua muda ndio kitu binadamu hatumiliki? Now ninawatato nyumbani wanahitaji malezi ya wazazi ili waje kua bora kuliko sisi, si unajua mzazi ni Mungu wa pili why nikutane na marafiki niache kukaa na watoto kuwafundisha soft skilks?
Mke wangu pia ana marafiki kaacha kaamua kuwahi nyumbani baada ya kazi means kanimiss rafiki yake mkuu, why nisi show love back?
Sabrina mke wangu nakupenda😙
Nyingine mlio nazo wazazi wenzangu ongezeeni marafiki wajue kua atuvimbi ila ni majukumu tu ya msigi tuliyo nayo wazazi