Tuliza kipochi icho unajua ndoa wewe au ndo midada ya mjini kazi kusindikiz wenzenu kufanya shopping wivu utwauwa u mwaka na picha nitaweka watu tuna 15 years unapayuka kama umekunywa maji ya chooniNdoa mpya na hapo unajiona utadumu hivohivo hutokuja kubadilika siyo? Uliza kwanza acha pupa
Hakika ila wengi awatambui ilo ndo maana ata awa wanao comment vibaya nahakika awajasoma mada ila wameamua tu..Hongera Mtoa mada,
Mke au Mume ni zaidi ya rafiki, ndugu na jamaa.
Ni mtu wako wa karibu ambae unapaswa mthamini sana. Wengine wataendelea kuwa marafiki bila kuadhiri urafiki wa Mke/Mume.
Rafiki inaweza kuonana nae mara moja hata kwa wiki au mwezi ila ulienae ndani ni kila siku uko nae katika raha na shida, milima na mabonde, wengine wanaweza kuwa na wewe wakati wa raha tu.
Kila mtu anapaswa kumfanya mwenza wake rafiki yake mkuu namba moja baada ya Mungu.
Nawasilisha.
Rafiki zangu nawapenda ila uyu mwanamke nampenda sana ielewe mitaa ndugu mbona nimeweka wazi au sijaeleweka nibold?uhitaji wa marafiki utakuja kipindi umegombana na mkeo. na ukikutana na hao marafiki utasimulia mikasa yote ya home na rafiki zako watakutetea na kauli za "wanawake wa sku hizi wanazingua" na kukushauri utafute mchepuko upunguze maumivu na kukwambia mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke mmoja..
mwisho wa siku mkeo akija kujua unachepuka ndoa inakua ishaingia doa na hii furaha ulotusimulia hapa hutaiona tena yani utaisikia kwenye bomba. na hapo ndo utaungana na lile kundi la kulalamika ndoa ngumu blah blah blah kumbe wewe ndo chanzo cha mvurugano wote..
sasa hapo sijasema ndoa yako itafata mtiriko huu ila mara nyingi ndo inavyokua.
pia jifunze kumaliza tofauti zenu nyie wenyewe kabla ya kwenda kujichoresha kwa ndugu na marafiki.
utaweka bold wakati ukifika mkuu sahivi bado.Rafiki zangu nawapenda ila uyu mwanamke nampenda sana ielewe mitaa ndugu mbona nimeweka wazi au sijaeleweka nibold?
Dah!.nikiona mtu anaamini marafiki kiasi hiki huwa namuonea imani tu.
Washkaji nyoka tu sometimes,una bahatisha mmoja katika 100.
Ukitetereka ndo watu wa kwanza kukuimba vibaya,bora nikae na mke wangu.
Hahaha, ngoja nimalizie na msemo wa humu ndani "na wataachana tu".Ndoa mpya,.[emoji6]
Mkuu kama marafiki zako unao kwa ajili ya kupata channel za maisha basi umeingia chaka huo ni urafiki wa kupoteza muda na unasubiria tu siku ya kufa. Urafiki hauhitaji hayo yote zaidi ya just that presence mnakutana si kwa sababu ya changamoto bali inatokea tu hata bila sababu.Ulioa ukiwa bikra wewesio kosa lako..
Mtu asiyejua umuhimu wa marafiki ni mjinga mara 3 na akili yake imefungwa na mawazo yake ya sasa.Subiri upoteze kaZi au biashara au uteteleke kwenye maisha ndo utajua kwanini unahitaji marafiki otherwise endelea kukaa gerezani
[emoji3][emoji3] umejua kunichekesha! Punguza hasira bas nimekuelewaTuliza kipochi icho unajua ndoa weqe au ndo midada ya mjini kazi kusindikiz wenzenu kufanya shopping wivu utwauwa u mwaka na picha nitaweka watu tuna 15 years unapayuka kama umekunywa maji ya chooni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi mwanzo Nilikuwa kama wewe lakini nikajifunza.
Mama p mke wangu yeye, Nilikuwa namsikiliza kuliko hata samadi inaponibana,
Lakini niliacha kumsikiliza pale aliposhinda udiwani wa kata.
Mara aseme niamke usiku nikavune miwa, Mara niende kwa mama mudi nikamnunulie vitumbua vikiwa bado vya moto..!
Kubwa kuliko yote ni pale aliponiambia nikamtwange afande mwita kerbu na mitama ya udevu, kisa afande alimshika kalio mama p..
Nililazwa miezi miwili ..
Bado wewe kenge wewe
Tofauti yenu iko wazi, msome tena!Hata mimi mwanzo Nilikuwa kama wewe lakini nikajifunza.
Mama p mke wangu yeye, Nilikuwa namsikiliza kuliko hata samadi inaponibana,
Lakini niliacha kumsikiliza pale aliposhinda udiwani wa kata.
Mara aseme niamke usiku nikavune miwa, Mara niende kwa mama mudi nikamnunulie vitumbua vikiwa bado vya moto..!
Kubwa kuliko yote ni pale aliponiambia nikamtwange afande mwita kerbu na mitama ya udevu, kisa afande alimshika kalio mama p..
Nililazwa miezi miwili ..
Bado wewe kenge wewe