Marais ambao ndugu zao walishika nyadhifa za juu serikalini wakati wa utawala wao

Joseph Nyerere, mdogo wake wa Nyerere, alikuwa Naibu Waziri wakati wa Serikali ya Awamu ya Kwanza. Alifariki wakati wa Awamu ya Pili.

Joseph Butiku, mtoto wa Mdogo wa Nyerere, Katibu Binafsi wa Rais Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…