Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kumbe kasema tuu basi sio mbaya.Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.
Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.
Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Abbas si wa kumuamini sanaMarais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.
Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.
Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?Abbas si wa kumuamini sana
Naam lazima wafanye hivyo sababu ni wazi watahitaji ulinzi na taratibu nyingine za kiprotokali za maraisIna mana waliwatumia maombi ya kuja kuaga?
Du!Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Namaanisha Tz iliwaomba hao watu waje ndio wamethibitisha ujio waoNaam lazima wafanye hivyo sababu ni wazi watahitaji ulinzi na taratibu nyingine za kiprotokali za marais
AiseeeNawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua