sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
[emoji3]Ulishasema wanakodi watu waje kwenye kulia basi ni hivyo sasa unauliza nini mbwa wewe
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3]Ulishasema wanakodi watu waje kwenye kulia basi ni hivyo sasa unauliza nini mbwa wewe
Kwani wakutoka ulaya wanafaida gani Bongo?Ni jambo jema, ila sidhani kama kuna wa kutoka ulaya wote watakuwa wa hapahapa nchi za eac na sadc
Mmh kweli aiseeNawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Yule ameshaachanjwa tiari na chanjo ya astrazenekaPiga ua zaragaza zika fukua Kagame hatakuja. Aje apate Korona
Hivi kashikashi anazokuwa nazo Rais mke wake zinamhusuMmh kweli aisee
Hata waje miaMarais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.
Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.
Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Mwenyekiti wa chama wakiwa na kamati kuu, walitangaza hatua za kuwachukulia kina Mdee lkn mpk leo tuna miezi minne sasa hakuna hatua walizochukuliwa, kina Mdee wanadunda na mwenyekiti anavuta ruzuku kila mwezi. Lkn sijawahi kuona ukitoa tahadhari juu yake japo uongo anaoufanya ni wa dhahiri. Nje ya mada lkn nimekumbushia tu juu ya uongo wa viongozi mbali mbali, na sio Abasi peke yakeNje ya hoja , ukitaka kunielewa mfuatilie abbas akitangaza watakaohudhuria kuapishwa kwa Magufuli 2020 , alimtaja hadi TB Joshua , sasa ulimuona ?
Vipi waliomuuwa chacha wangwe baada ya kuutaka uenyekiti wa chama taifa? Karma imejibu kwa njia ya kukisambaratisha chama au?shiiiii taratibu mkuu, walioshiriki kumpiga Lisu risasi wameanza kupata majibu...karma ni noma!.
Comment ya hovyo kabisa, unajua gharama za kukiendesha chama chenye ukubwa wa CDM nchi nzima?umeshawahi hata kuendesha biashara?walivyokosa wabunge ndio kabisa CDM inakufa, itakuwa kama TLP na CUF...CDM ni chama muhimu sana kwa afya ya nchi yetu kwa sasa, upinzani siyo uaduiHebu fikiria kuna wabunge walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi ili hela wanazokatwa zije zisaidie chama wakati wa uchaguzi. Lkn chakushangaza ulipofika uchaguzi mkuu chama kilianza kuchangisha wananchi masikini kwa madai kwamb chama hakina pesa ya uchaguzi wakati michango ilikuwa imeshakatwa kwa miaka yote mi5, hauoni kama hapa kuna ukigeu geu na upigaji
mama maalim seif duh🤣🤣🤣Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Hakuna mcha Mungu anayeweza kufurahia jambo baya kwa mwingineNakuona unafulaha Kama yote.
Najua kama siasa sio uadui na hapa hatujatengeneza uadui bali tunaelimishana kuwa watu wasioaminika wapo pande zote za vyama na serikali, na sio kum judge Abasi peke yakeComment ya hovyo kabisa, unajua gharama za kukiendesha chama chenye ukubwa wa CDM nchi nzima?umeshawahi hata kuendesha biashara?walivyokosa wabunge ndio kabisa CDM inakufa, itakuwa kama TLP na CUF...CDM ni chama muhimu sana kwa afya ya nchi yetu kwa sasa, upinzani siyo uadui
Afande Chele huyo haogopi!.karma ya kumuua Ben Saa Nane, Azory NK imeondoka na MTU.shiiiii taratibu mkuu, walioshiriki kumpiga Lisu risasi wameanza kupata majibu...karma ni noma!.
Mawazo ya kitumwa haya. Bila kupinga pinga kila kitu hauwi nyumbuNi jambo jema, ila sidhani kama kuna wa kutoka ulaya wote watakuwa wa hapahapa nchi za eac na sadc
Abasi ana "jajiwa" kwa nafasi yake ila kuiingiza CDM na michango ya wabunge siyo sahihi, check and balance...CCM lazima ijambishwe kila wakati na upinzani ili ikae sawa, just imagine hakuna upinzani kabisa yani kila kitu kinapita smoothly itakuwaje?hayati hakupenda upinzani na maneno maneno yanayomkasirisha ila ni yeye alikuwa MPINZANI wa CCM akajaribu kuibadilisha,ikabadilika na sasa CCM ni moja ya vyama tajiri kabisa duniani, alierudisha mali za ccm kwa ccm, za nchi kwa nchi ila sijui itakuaje kwa sasa...JK alikua ni muumini wa don't eat alone, huyu alikuwa hujafanya kazi huli, hujalima basi mkulima atakulima kwenye beiNajua kama siasa sio uadui na hapa hatujatengeneza uadui bali tunaelimishana kuwa watu wasioaminika wapo pande zote za vyama na serikali, na sio kum judge Abasi peke yake
Hapo kwa Mama Mugabe futa.Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Mama kenyatta yuko hai,Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Aisee[emoji848][emoji848]Wana akili kweli. Wameona waje wapate upako wa JPM. Kwa mwanasiasa wa hapa Tanzania jitahidi sana umbatane na upako wa JPM kuhuhisha maisha yako ya kisiasa.