Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.

Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.

Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Rais wa Madagascar lazima atakuwa mmojawao atataka kujua kama Marehemu alitumia dawa kwa kufuata maelekezo maana yeye na wengine wengi, kwa kutumia ileile dawa iliyopakiwa kwenye Dreamliner bado wako hai. Huko Hospitali ya Mzena kulifungwa mashine ya Kufukiza?
 
Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.

Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.

Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Rais wa Madagascar lazima atakuwa mmojawao atataka kujua kama Marehemu alitumia dawa kwa kufuata maelekezo maana yeye na wengine wengi, kwa kutumia ileile dawa iliyopakiwa kwenye Dreamliner bado wako hai. Marais wa Kimataifa mbona wanamuaga Dodoma na Chato kuna Uwanja wa Kimataifa?
 
Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.

Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.

Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Wataje
 
Mu7 katuma salamu yeye haji anaopgopa akitoka tuu bob wine atapindua nchi
 
Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..

Wanaume tuwe makini

Tafakari,chukua hatua
Du..!! Wanaume tunakikao chetu kesho, mwenyekiti wa UWABATA atasimamia kikao hicho.
 
dah hawa jamaa niliwadharau na kuwaona hawana maana tangu kipindi hicho. cha ajabu bado hiki chama kina wafuasi
Wengi wao wapo ktk chama hiki kwa ajili ya matumbo yao, mfano wa dhahiri ni huyo aliesema eti Abasi sio wa kuaminika huku yey mwenyew akiendelea kuwaamini wadanganyaji
 
Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..

Wanaume tuwe makini

Tafakari,chukua hatua

Jina lako linaendana na kabisa na points zako
#zinafikirisha!
 
Rais wa Zimbabwe Mnangagwa ameshawasilia Kwa shughuli ya kesho kumuaga Hayati Magufuli.
 
Piga ua zaragaza zika fukua Kagame hatakuja. Aje apate Korona
Hata asipo kuja siku ikifika atakufa tu hata wewe na mimi ipo siku tutazikwa tu kwa hiyo tuliza mshono.
 
Uzuri sisi hatujidai tutaishi milele sijui ohhh wakubwa wa malaika.
 
Back
Top Bottom