Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Rais wa Madagascar lazima atakuwa mmojawao atataka kujua kama Marehemu alitumia dawa kwa kufuata maelekezo maana yeye na wengine wengi, kwa kutumia ileile dawa iliyopakiwa kwenye Dreamliner bado wako hai. Huko Hospitali ya Mzena kulifungwa mashine ya Kufukiza?Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.
Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.
Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita