Marais kumi wathibitisha kuja kumuaga Rais Magufuli

Wao waje tu na mibarakoa yao ya kibeberu ila watatukuta sisi tukiwa uchi kabisa usoni kama mzee wetu alivyotusisitiza
 
Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..

Wanaume tuwe makini

Tafakari,chukua hatua
Duu!!!🙄🙄
 
Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi kuweka wazi majina na nchi zao mchana wa leo.

Magufuli alifariki dunia Machi 17 kutokana na maradhi ya moyo.

Rais huyu wa awamu ya tano anatarajiwa kuzikwa Machi 26 nyumbani kwao Chato mkoani Geita
Abbas ni Mtalaam aliyegubikwa na siasa,
kauli zake usizichukulie serious utapata wazimu bure!!!
 
Huenda ni pamoja na rais wa tff
 
Is this supposed to be 'good news' or something! Does it add any value or will it change the fact that the strongman is gone forever. Stop trying to justify the goodness of the departed. It doesnt matter anymore..he is gone. Either way if he was good or evil it doesnt matter as he is no more. Stop playing politics with his demise. Let his soul rest. He is gone forever and he shall never came back. You all need to get over it and stop making this funeral like a competition
 
Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..

Wanaume tuwe makini

Tafakari,chukua hatua
Mkuu, ni mfumo wa majukumu uliojengwa ktk uadui tangu asili

Hata wewe tukikukuta unauadui na mwanake, tutakushangaa
 
Hebu fikiria kuna wabunge walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi ili hela wanazokatwa zije zisaidie chama wakati wa uchaguzi. Lkn chakushangaza ulipofika uchaguzi mkuu chama kilianza kuchangisha wananchi masikini kwa madai kwamb chama hakina pesa ya uchaguzi wakati michango ilikuwa imeshakatwa kwa miaka yote mi5, hauoni kama hapa kuna ukigeu geu na upigaji
Walikuwa wanakatwa sh.ngapi kila mwezi na mpk mwaka wa uchaguzi zilikuwa zimefika kiasi gani tupe hesabu yake mkuu.
 
Wao waje tu na mibarakoa yao ya kibeberu ila watatukuta sisi tukiwa uchi kabisa usoni kama mzee wetu alivyotusisitiza
Kama Mwenyekiti na Rais alizoea kuzungukwa na maCCM wengi wakimsifia kwa kutesa Wapinzani kwa hiyo, akijua Covid-19 haitamwacha salama, aliwaandaa asiende peke yake huko aendako la sivyo atakuwa mpweke sana na Shetani Jehanamu maana aliowatanguliza watakuwa wanafurahi kama Lazaro na Mungu wao. Haya mfuateni yeye ameshafika analia na kusaga meno!
 
Tunawashukuru kwa kuja kuungana nasi wakati huu mugumu, akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli.
 
Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
dah hawa jamaa niliwadharau na kuwaona hawana maana tangu kipindi hicho. cha ajabu bado hiki chama kina wafuasi
 
Kwa hiyo inatuhusu nini? Au ndo mnatulazimisha tujue alikuwa anakubalika kote duniani?

Basi sawa, tumesikia.
 
Back
Top Bottom