Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Cha msingi wavae barakoa na kuchukua tahadhari zote za Corona, tusisababishe vifo vya kujitakia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na baadae wale waliokua wanakataa sio fisadi alivyosafishwa na mwenyekiti nao wakamuita fisadi ila aliporudi akawa sio fisadi tena..Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Sina shaka mwezi Juni utakuwa umefika muda wa kujifungua!Lisu atabisha
Yaani hii issue ilinifanyaga niichukie Chadema tangu mwaka2015.Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Hebu fikiria kuna wabunge walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi ili hela wanazokatwa zije zisaidie chama wakati wa uchaguzi. Lkn chakushangaza ulipofika uchaguzi mkuu chama kilianza kuchangisha wananchi masikini kwa madai kwamb chama hakina pesa ya uchaguzi wakati michango ilikuwa imeshakatwa kwa miaka yote mi5, hauoni kama hapa kuna ukigeu geu na upigajiYaani hii issue ilinifanyaga niichukie Chadema tangu mwaka2015.
Jamaa vigeugeu Sana. Ndio maana hata hayati JPM alivyowabana Mimi Kama Mimi nliona alikuwa sahihi.
Maana wangepewa uhuru wangeendelea kupakaza uongo tu Kama walivyofanya kwa Lowasa then wakamsafisha.
Kwani aliekufa ni mzungu hadi unawaza wa ulaya?Ni jambo jema, ila sidhani kama kuna wa kutoka ulaya wote watakuwa wa hapahapa nchi za eac na sadc
Mburula huyo, ana laana, achana naye!Lisu atabisha
Na hao ndio wanyooshea vidole wenzao mpaka mishipa ya uso inasimama! Wanafiki majambazi makubwa!Hebu fikiria kuna wabunge walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi ili hela wanazokatwa zije zisaidie chama wakati wa uchaguzi. Lkn chakushangaza ulipofika uchaguzi mkuu chama kilianza kuchangisha wananchi masikini kwa madai kwamb chama hakina pesa ya uchaguzi wakati michango ilikuwa imeshakatwa kwa miaka yote mi5, hauoni kama hapa kuna ukigeu geu na upigaji
Atabisha kwamba babu yenu hajafa au?Lisu atabisha
Anakuja vizuri sana na mawaziriPiga ua zaragaza zika fukua Kagame hatakuja. Aje apate Korona
Lissu amekufanya nini?Lisu atabisha
Nje ya hoja , ukitaka kunielewa mfuatilie abbas akitangaza watakaohudhuria kuapishwa kwa Magufuli 2020 , alimtaja hadi TB Joshua , sasa ulimuona ?Kwahiyo tumuamini yule mwenyekiti na genge lake waliowahi kusema kuwa Lowasa alikuwa fisadi papa na baada ya kwenda kugombea uraisi kupitia chama chao wakameza matapishi yao wenyew kwa kupinga kwa nguvu zao zote kuwa Lowasa hakuwahi kuwa fisadi?
Anaweza aje ashapata chanjo tayariPiga ua zaragaza zika fukua Kagame hatakuja. Aje apate Korona
Lisu anakuja kuaga swaiba wake kule kitovuni Chato aweke na udongo kabisa kuhakikisha ameondokaLisu atabisha
shiiiii taratibu mkuu, walioshiriki kumpiga Lisu risasi wameanza kupata majibu...karma ni noma!.Mburula huyo, ana laana, achana naye!
NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU awajaalie UMRI MREFU ZAIDINawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
haswaa muwe makini na kata k zenu wanawake hua hawa endekekezi kata k kabisaaaNawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Mama Mugabe Yuko hai..
Wanaume tuwe makini
Tafakari,chukua hatua
Ulishasema wanakodi watu waje kwenye kulia basi ni hivyo sasa unauliza nini mbwa weweIna mana waliwatumia maombi ya kuja kuaga?
Nakuona unafulaha Kama yote.Abbas si wa kumuamini sana